Nina Swali njooni 2lijadili

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
1,448
661
Kwa mfano uko zako barabarani unenda home ukakutana na mtu anauza CD za xxx ukachukua nakala moja kufika nyumbani unaweka uitazame unakuta ni mahubiri.

je ? utakasilika au utashukuru Mungu
 
Nitamtafuta huyo aliyeniuzia kwa kuwa nina contact zake, si atakuwa amekukatia risiti ya ki-electronic!
 
utakasirka maana lengo la CD hujalipata vilevle utashukuru kuona yaliyomo [dini] kisha unairudisha.
 
siku za kufa zipo karibu hivyo MUNGU anajaribu kukumbusha umkumbuke ili ukifa usipate tabu mzee mwenzangu kama imekukuta kweli tubu tubu...
 
Pole sana siku nyingine uwe unaomba kuzipreview kabla hujaondoka nayo, hayo mahubiri najua hata hukuyasikiliza wala kuyaangalia zaidi ya kujifyonza na kuzima tv
 
Back
Top Bottom