Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 903
Naamini wote ni wazima,kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema, wenye majonzi na wafarijiwe. Nina swali jamani samahani nauliza tu.
Hivi humu jukwani kuna watu hawana ubize kabisa, maana topic ikitupwa tu humu kuna watu hata robo sekunde haipiti wameshajibu.
Hivi hawa wenzetu hawana kazi au ndo kusema wamejiajiri na hata kama ndo kusema hizo shughuli zao haziwafanyi wawe bize kabisa, da binafsi sina muda yani hadi nipate huo muda wa kuchungulia.
Ukitoka ofisini pia ni full uchovu yani hata hamu ya kushika simu hakuna.natamani walau kwa siku nipitie ila wakati mwingine cku inapita hata sijachungulia. Au ndio kusema jukwaa la malavulavu hata uwe na shughuli kiasi gani ni bora uache na uje kwanza huku.
Ni swali tu jamani msinirushie vijiti.
Jioni njema.