jf ndiyo mume wangu,kipenzi changu.. mahabuba.,, lahazizi wangu ... unajua ukiwa na mpenzi unavyombana na hanisumbui full burudani
usiige kunya kwa tembooo humu watu waache kama walivyo junior.cux unalipwa toka lini
NO OBJECTION .....
Posts Per Day:38.33
hahha ninamiezi sasa... ka hujaanza kulipwa nambie nikuunganishe kwenye payroll ya jf!!!!
jf ndiyo mume wangu,kipenzi changu.. mahabuba.,, lahazizi wangu ... unajua ukiwa na mpenzi unavyombana na hanisumbui full burudani