Nina stress, nifanyeje?

Umeachwa nini au una una hazina ya negative thoughts in your mind???
halafu hata mimi nina tatizo linanikosesha amani sana
nina mawazo hasi wakati wote sielewi jinis ya kuyatoa...
hata nikicheka najiuliza sasa ndo nini...
sina amani kabisa
nikipanda gari nawaza litapata ajali
nikifanya kitu ni mawazo hasi tu...
nawezaje kuondokana na huu woga na wawiwasi
 
fanyakazi acha kushnda nyumbani peke yako ndio maana BP zinashuka kwasababu ya hofu,mawazo na uoga
 
halafu hata mimi nina tatizo linanikosesha amani sana
nina mawazo hasi wakati wote sielewi jinis ya kuyatoa...
hata nikicheka najiuliza sasa ndo nini...
sina amani kabisa
nikipanda gari nawaza litapata ajali
nikifanya kitu ni mawazo hasi tu...
nawezaje kuondokana na huu woga na wawiwasi
Kuna kipindi inanitokeaga hali flani huzuni sio huzuni nakosa raha kabisa najihisi mpweke naweza nikaongea vitu ukaniona kama mjinga yaan sieleweki.Alafu sasa najikuta najaribu vileo labda vinaweza rudisha hali yangu kama ni bangi ntavuta sana pombe ntakunywa sana yaan ilimradi nipate kaunafuu.. inafikia hatua najichukia sana natamani hata nife tu Niondokane na hiyo hali roho huwa inaniuma sana..Ila nncho shukuru huwa inanitokea kwa kipindi inaweza ikanichukua hata wiki 2 ndo nije kuwa normal nakipindi chote hicho huwa napenda niwe pekee yangu tu sina hamu yakuwa na marifki au mtu yoyote..Sielewi inatokana na nini Najikuta tu iko ivo
 
Kama ni Muislam na hausali basi anza kusali sala tano za faradhi kila siku.

Udhu na swalat ni dawa tosha ya stress.
 
Abunwasi, to me this is the best advice ever

Thank you very much

Maana stress nilizonazo leo yan hapa nilikuwa naenda kununua valium nilale tu masaa 20

So nimebadilisha naenda kutafuta chocolate sasa maana ndo kinachowezekana kwa sasa
 
Back
Top Bottom