Hisia za stress kwangu hazipo kabisa

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kwenye maisha ni kawaida kusikia kila binadamu Anapata stress kutoka na situations ambazo anapitia kwenye maisha yake
Lakini kwangu hali hiyo ni tofauti kabisa
Mimi sinaga hisia za kuumizwa na kitu chochote
Kila kitu nachukuliaga kawaida tu kiwe kigumu kwangu au chepesi akili yangu haiwezi kujisumbuwa kufikiria mpaka kukosa raha
Niliambiwa nikioa nitaanza kuchukulia vitu kwa umakini kwasasa nina mke lakini bado akili yangu iko vile vile tu na kweli kuna baadhi ya situation nakutana nazo za kunipa mawazo Ila kwangu icho kitu hakipo
Kama siwezi , siwezi kujisumbuwa

Mpaka kwasasa nimeanza kufikiria labda hali hii ni ugonjwa wa akili maana sifikiriagi vitu kwa umakini kama wenzangu kila ninacho kifanya
Nakifanya kwa ukawaida sana hata Kama ni kitu cha kufanya kwa umakini mkubwa
Je ili litakuwa tatizo ?
 
Inategema upo hatua gani ya maisha kuna watu huwa wanaitwa giver na wengine taker.

Mara nyingi MTU anayewaza kufanya vitu ili visiaidie maisha ya watu wengine yaende vizuri hawezi kukosa Kuwa na stress Ila MTU anyaesubiri afanyiwe vitu ili aishi Anaweza Kuwa stress free.

Kuwa na stress sio tatizo Ila kuwa na depression ndo tatizo ma a na stress unaweza kuzipata hata Kama umetimiza mahitaji yako na ya watu wengine. Na stress huwa zinahama hama.

Stress za masomo
Stress za kufaulu
Stess za kazi
Stress za mshahara
Stress za kustahafu

N.k ,live ur life cherish every single moment.
 
Kwa hiyo wewe hunaga malengo yoyote ya kutaka kufanikiwa kwenye mambo kadha wa kadha?
 
Ni maisha mazuri,jambo ambalo liko mbele yako na no option at that moment lisikufanye ukose raha,mimi nasemaga ukiuishi uwewe hutapata stress,ila ukianza na kuona itakuwaje,watasemaje/nionaje utaishi kwa tabu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom