Nina maumbile madogo ya uume

Tallbata

Member
Jan 31, 2023
37
101
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.

Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.

Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.
 
Mimi ni kijana ambae Niko mtaani nafanya mishe zangu fresh Ila Kuna jambo Lina nitatiza Sana mwenye ujuz naomba anisaidie ni hivi, Nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa nimekua nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambae nakua nae kwenye mahusiano, hii Hali huwa inanitesa Sana ko Kama Kuna mdau anajua njia Bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii Hali haivumiliki wazee,
Ni ishu serious wazee wa mitishamba msaada wenu
 
Mimi ni kijana ambae niko mtaani nafanya mishe zangu fresh ila kuna jambo linanitatiza sana, mwenye ujuzi naomba anisaidie.

Ni hivi; nina maumbile madogo ya uume mpaka najiogopa. Nimekuwa nikitemwa na kuzarauliwa na kila msichana ambaye nakuwa naye kwenye mahusiano.

Hii hali huwa inanitesa sana, hivyo kama kuna mdau anajua njia bora na ya asili ya kuongeza maumbile anisaidie hii hali haivumiliki wazee.
Mzee hatari sie wenye vibamia tunadharauliwa sana na hawa wanawake. Mwenzio nilienda mpaka mbeknyera huko kwa mganga nikuze kibamia changu lakini hamna lolote bado kipo vile vile.
Mzee tujikubali tuu imekula kwetu kwenye hiyo sector
 
Back
Top Bottom