Nina stress, nifanyeje?


Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Messages
8,050
Likes
3,239
Points
280
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2014
8,050 3,239 280
Hebu fafanua aina ya stress uliyonayo, kwamba uko negative tu au ni positive stress?
 
ICHANA

ICHANA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
4,796
Likes
667
Points
280
ICHANA

ICHANA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
4,796 667 280
Huwez seema huna lolote afu una stress unaleta biashara za vigisu vigisu kaa KUNYWA MAJI MWANANGU

Tafuta chanzo then solution utapata

Jitahid sana kufanya kile kinachokuletea furaha like kuwatch movie...outing...beach...kusikiliza nyimbo zozote kuendana na unazopenda...jitahid kuwaza positive muda mwingi...TAFAKARI UKUU MUNGU ALOKUTENDEA .

Kunywa maji mengi pata mapunziko ya kutosha

Kaa mbali na chanzo cha stress .
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,791
Likes
15,202
Points
280
Age
35
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,791 15,202 280
Nichek inbox nikupe ushauri wa kinagha ubaga...
 
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
6,682
Likes
15,774
Points
280
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
6,682 15,774 280
Mpigie mchumber aje mpige stories nyingi nyingi mixer vitu vingine vingine

Stress zitaisha taratibu

Mahaba ya mchumber huwa yanaponya
 

Forum statistics

Threads 1,274,530
Members 490,721
Posts 30,515,416