Nenda Tanesco iliyo karibu na wewe wakakubadilishie hiyo remote imeharibika,hiyo ndio solutionThey never respond
Nina siku ya nne leo sijafanikiwa kupata huduma za Tanesco, natumia remote meter ambayo mpaka sasa haisomi,
Ina load tu na mwisho kudsplay AF-ERR
Kama kuna mtu ashakumbana na adha hii akaisolve technicaly, msaasa unahitajika