Nina siku ya nne leo sijafanikiwa kupata huduma za Tanesco

Kichpox

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
361
397
Nina siku ya nne leo sijafanikiwa kupata huduma za Tanesco, natumia remote meter ambayo mpaka sasa haisomi,
Ina load tu na mwisho kudsplay AF-ERR
Kama kuna mtu ashakumbana na adha hii akaisolve technicaly, msaasa unahitajika
 
Kuna Thread Humu Jamii Inaongealea Hii
Nenda Thread Ya Tanesco Utapata Msaada Haraka
 
Uko wapi mkuu?
Nina siku ya nne leo sijafanikiwa kupata huduma za Tanesco, natumia remote meter ambayo mpaka sasa haisomi,
Ina load tu na mwisho kudsplay AF-ERR
Kama kuna mtu ashakumbana na adha hii akaisolve technicaly, msaasa unahitajika
 
Hakikisha kama main switch haijajizima. Iwapo imejizima iwashe.
Hakikisha rimote meter yako ina betri nzima, chomeka kwenye socket, socket iwe on.
Bonyeza zero(0)halafu andika namba ya meter, bonyeza tena zero halafu andika namba ya meter then bonyeza ok. Subiri dakika tano ndipo uingize token
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom