Nina siku ya 3 leo mtoto wa diwani ananinyima haki yangu ya Msingi

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Nimeamini wanawake wakiwa na Mimba huwa wanakuwa na visa sana,
Alinizoesha yeye mwenyewe kunipa haki yangu kila siku baada tu ya kumpa mimba iliyopelekea tukae pamoja tena kwa nguvu ya Dola,
Yaani ata zile siku ambazo nilizokuwa nimechoka yeye lazima anilazimishe ili nifanye nae mapenzi,
Alikuwa ananiambia kwamba mimba yake inamfanya kila akiniona anajisikia hamu ya kukutana kimwili na mimi,

Leo ni siku ya Tatu hajanipa haki yangu na sijui nini tatizo,
Hatuna ugomvi wowote, tunacheka fresh, mambo mengine yanaenda lakini inapofikia kwenye Tendo mzigo sipewi,

Na hii hali imeanza tu ghafra nakumbuka siku moja nyuma kabla ya kuanza kunibania nilikuwa na Manzi moja hivi sasa kesho yake nilikuwa nachart na yule manzi na kusahau kufuta text zake "nimeambatanisha"
IMG_20191001_145334_121.jpeg


Na bahati mbaya zilisomwa na mke wangu Mtoto wa diwani,
Na hapo ndipo nilipoanza kunyimwa, lakini haonyeshi kuchukia , hajaniuliza chochote na wala hana tofauti yeyote,

Nifanye nini aisee ili niendelee Kupata haki yangu kutoka kwake.

Kama mzigo nauona kabisa na kwa makusudi analala bila Pichu na khanga moja tu amejifunga,
Kwa haraka haraka tuseme kama ananilingishia lakini kunipa ni anakaza kweli kweli.


Cc Zero IQ
 
Back
Top Bottom