engine za V8 na Chit chat wapi na wapi?
Kaka nakushukuru sana kwa majibu yako mazuri!maana kuna jamaa hapa ameniponda Basi tu.mimi nat aka kuagiza Range Rover 4.6 ya mwaka 2002 ndio maana nikauliza!si unajua vitu kama hivi lazima uulize usije ukajuta kununua gari!Nashukuru sana kaka!vp wewe service unafanyia wapi?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
...
Mmmmhhhhh haya.......
Kaka nitakutafuta unishauri zaidi mimi nakaa Kimara suka!kwa hiyo najua nikiweka mafuta ya elfu 30 naingia town na kurudi nyumbani kwangu kimara suka kaka huku njia ni mbovu balaa ndio maana nataka hiyo gari lakini naona kama ya kwako engine yake ni kubwa 5.0L hii ninayotaka 4.6L hope hii ulaji wake utakuwa chini ya hapo inaweza kuwa klm 7 au 8.Mwaka wa pili sasa
Unavyokiri ndivyo utakavyopokea!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums