Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #121
Vyote hivyo kama huna madeni Na pesa ulizo nazo sio za kukopa. By and By kwa nini usiwe na raha mtu? AVATAR yako says a lot. I am happy for you.
A happy woman is too satisfied with the present to dwell too much on the future
ooh una kumbukumbu,lazima ulikuwa unashika namba moja darasani
Hiyo ni ya kweli sijaforge hata kidogo kwani vipi handsome eh nipeni vyeo basi
nilishang'oa mawili kwa hiyo ni 30.,Yah nimemshukuru mara nyingi tu.
Haha, na hivi anapiga story za pweza ndio kabisaaaa!
Unamdanganya...ni more than handsome.,vyeo vya nini tena?
ni more than handsome.,vyeo vya nini tena?
Mbona hukuja kusema huku?Kuna siku nilipewa ahsante nikajiona niko kwenye bustani ya hedeni acha kabisa hii kitu
Si unajua nilimkaribisha yule dada Mbeya kwetu umalilani Santilia huko akagoma lakini niliona flag lako lilikuwa Arusha na ulikuwa mtu wa kwanza kuwaponda watu wa Dsm. Tupo pamoja, mchango tukumbushane ili mambo yazidi kunyooka siku ile ya leleleleee.
Kwa nini haiji?hahahaha umenimaliza kabisa dear,picha haiji kabisa
Kuna siku nilipewa ahsante nikajiona niko kwenye bustani ya hedeni acha kabisa hii kitu
Hahaha! Umeona avatar ya nitonye lakini? Kuna kupata raha kweli hapo lol.
Unamdanganya...
More than handsome ndio yuko je?
Raha ya dunia ni mambo matatu, ya kwanza ni afya, ya pili ni mali ya tatu ya kupendwa.Jamani nina raha mwenzenu mpaka nimeshindwa kunyamaza.Kupendwa raha jamani lol najihisi niko peponi.
yani wewe huwezi kucoment bila kuongelea avatar yangu,umeiota eeh?
Mbona hukuja kusema huku?
Kwa nini haiji?
hyo ni avatar tu mpe date uone alivyo HB la kufa mtu utakuja na thread hapa ya kuchanganyikiwa