Mkuu wananunua kulingana na gram ikitegemea na ubora wa dhahabu yenyewe... wakununua wapo hapo magomeni mapipa, nyuma ya CRDB kuna mtaa wamejaa masonara!! kama dhahabu ni nzuri unaweza kupata hata 50,000/= per gram... KUWA MAKINI.
Karibu sana.Asante mkuu
kwa sonaraNitajie tu mahali mkuu
Nenda Indira gandhi street huko ndiko utauza dk 0 tu.....Kuna sonara lukuki hukoNaweza peleka wapi ili nijipatie pesa kiasi kulingana na mali yenyewe.
Nipo Ubungo Dar es Salaam Tanzania.
Naweza peleka wapi ili nijipatie pesa kiasi kulingana na mali yenyewe.
Nipo Ubungo Dar es Salaam Tanzania.