Viwanja vi2 (sqm2400,2100)vinauzwa vikonje dodoma

Viwanja vi2 (sqm2400,2100)vinauzwa vikonje dodoma

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,872
Reaction score
2,056
Habari zenu wakuu!!
Viwanja vipo 2 vimefatana vinauzwa….

1.sqm2400..2.sqm2100 jumla sqm4500..
Bei ni 19m kwakila kimoja
Vipo dodoma (vikonje) kutoka makao makuu ya tbc ni km 3 na kutoka dar es salaam road ni km 6….
Document zote zipo (prosess ya hati iko ardhi tayari )inasubiliwa control no tu itoke ili vilipiwe kwaajili ya hati tumekwama hela yakulipia (ukitaka kujiridhisha ardhi inaruhusiwa…

NB:hakuna utapeli mali ni safi na salama waweza kujihakikishia ngazi zote za usalama kuepuka matapeli

Unaweza kulipia 50%nyingine ukalipia kulingana na makubaliano maalumu mbele ya mwanasheria…

No 0692669235
 

Attachments

  • 8f217ed3-72bc-4adf-b7c0-cbc8ed208c9c.jpeg
    8f217ed3-72bc-4adf-b7c0-cbc8ed208c9c.jpeg
    59.1 KB · Views: 10
Biashara Ngumu Sana Mpaka Sasa Hujapata Mnunuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom