Kuna harufu ya utakatishaji fedha hapahajanipa baba au mama, sifanyi kazi. ndio maana sioni nitumie wapi sababu watajua halafu siko tayari kueleza nimezitoa wapi
Nimepewa๐๐๐ Umezipata wapi?
Kwani mimi nimesema kuizidi serikaliunatakiwa uchunguzwe kama yule aliyesema ana pesa kuizidi serikali
Kivipi?Kuna harufu ya utakatishaji fedha hapa
Wewe hata hujui jinsi ya kutumia ungefundisha hapa hapa tuNjoo PM nikufundishe jinsi ya kutumia.
Sijasema kama nataka kutoa sadaka ๐Nunua vocha za elfu mbili mbili. Nyingi za milioni 10 halafu tugawie humu.
Nina pesa nyingi tu naogopa kutaja bei yake ila ni nyingi kama tanzania naweza Nunua nyumba ๐Una sh. ngapi? Usije ukawa na sh 10,000.
Endelea kufikiria Hamna kitu ๐๐Uanweza fikilia ana pesa nyingiii, kumbe hamna kitu
Weka bank basi..Mpenzi wako anajua??hajanipa baba au mama, sifanyi kazi. ndio maana sioni nitumie wapi sababu watajua halafu siko tayari kueleza nimezitoa wapi
umeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma kuwa na pesa nayo tabu kweli
Ziko bank ila siwezi ziacha huko muda mrefu inaeza ikajulikana. Hakuna mtu anajua zaidi yangu na alienipea tuWeka bank basi..Mpenzi wako anajua??
Tatizo mimi siko tanzania halafu bado naishi na wazazi wangu hiyo ndio tatizoNikiwahi kupitia kipindi kama cha kwako miaka kama saba iliyopita tena nikiwa na umri mdogo kabisa, ambalo naliona kosa ni kutokuwekeza zaidi kununua kiwanja tena kidogo kabisa ambacho hata sasa kimezungukwa na majumba nakosa hata futi kadhaa kuongeza ukubwa.
Nilifungua account kisha kutunza kiasi kilichobaki kwa siku sikupata shida nikajizuia niache kutoa, hapa kukicha matatizo yalizidi.
Hichi ndicho kipindi nilitembelea kila sehemu niliyotaka kwenda hata safari za kushitukiza yaani naamka asubuhi naelekea kazini jioni sirudi, maana kuhusu nguo na mengine nilikuwa na uhakika wa kuyapata huko niendapo...kazi yangu haikuwa na uhitaji wa kuwepo muda wote maana majukumu mengi tuliwasiliana kwa simu na muda mwingine groups za whatsapp.
Zilivyokata sikumbuki, zaidi nakumbuka kuwa kwasasa account hata kiasi cha chini kabisa kutoa hakipo.
Kwasasa nikipata pesa ikiwa si kiwanja bhasi nitanunua kinachoonekana, nimegundua pesa si kitu rafiki kwangu namimi siitaji urafiki nazo hapa namaanisha kukaa nazo ila kiasi kidogo cha kujikimu maisha ya kila siku.
Hadi hapo utajuwa hicho ulichonacho ni kitu cha aina gani, kukukimbia ni rahisi sana.
Bank ndo safe zaidi..itajulikana vipi??..Bado upo Canada??Ziko bank ila siwezi ziacha huko muda mrefu inaeza ikajulikana. Hakuna mtu anajua zaidi yangu na alienipea tu
Panda kitega ichumi anza kudondosha kumi hadi ziisheumeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma kuwa na pesa nayo tabu kweli
Ziko bank ila siwezi ziacha huko muda mrefu inaeza ikajulikana. Hakuna mtu anajua zaidi yangu na alienipea tu