Nina nini?

Nina nini?

Hata mm enzi za uhandsomeboy niliwakosa wangi sana coz I was a super handsome wanawake makini huwa hawapendi wanaume wazuri sana na wanaojipenda sana.
 
sikiliza mjomba soma kwanza maliza....pigana mpaka ujenge ukiwa hapohapo nyumbani alafu toka hapo nenda kwako kisha utatafuta hayo mambo mengine.....focus on your goals achana na wanawake... ukiwa na pesa wanawake watakuja wenyewe....
 
Back
Top Bottom