Nina muchanganuo wa mutaji wa kuanzisha matikiti maji ila sina mutaji je,niupate wapi?naomba musaada

Sema G

Member
Feb 6, 2014
14
0
1. Ukubwa wa eneo eka Mbili 4900m2*2
2. Spacing 45cm x 80 cm (shimo kwa shimo; mstari kwa mstari)
Idadi ya miche/ Mbegu zinazotakiwa= ukubwa wa eneo/ nafasi 11400*2mbegu/miche
Idadi ya Mavuno: Kila mche utazaa matunda 3, Jumla ya matunda 68400
Jumla ya mauzo yanayotegewa toka katika matunda 34200@ tsh 3000 205200000tsh
GHARAMA TSH
1. Mbegu, kutoka east west seed company mbegu 80 ni tsh 2500, kwa hiyo mbegu 11400*2? 712500tsh
2. Gharama ya kulima shamba na kuandaa matuta 400000tsh
3. Mbolea ya kupandia DAP mifuko 6, maana kila shina linahitaji gram 5, so kwa mashimo 11400*2? 390000tsh
4. Booster kama Polycoffee/Polyfeed kilo 2 inatosha 20000TSH
5. Mbolea ya kukuzia kama Urea Mifuko 6@ tsh 70000 420000tsh
6. Gharama ya Madawa lita 2 ya Phyrinex/ Dursaban 50000tsh
7. Gharma ya matandazwa/Mulching 200000tsh
8. Gharama ya vibarua 2 kwa siku 90 kila mmoja 3000tsh Kwa siku 1080000tsh
9. Gharama ya usafiri Fuso 4@ 600,000 tsh 2400000tsh
10.Gharma ya miundo mbinu ya maji 1000000tsh
11.Mafuta lita 10 kila siku, kwa siku 90, kila lita 2500 tsh 2250000tsh
Jumla ndogo8922500tsh
tsh
JUMLA KUU YA GHARAMA 8922500tsh
FAIDA KAMILI (JUMLA YA MAUZO -JUMLA YA GHARAMA) 196,277,500.00 tsh
 

Attachments

  • Matikiti zawadi R2.xlsx
    13.4 KB · Views: 167
Back
Top Bottom