Nina mtaji wa Tsh. 50,000/= naomba wazo la biashara kwa Dar es Salaam

Mtu anafanya biashara kutokana na hobi yake mfano naweza kukushawishi genge lakin ww usiwe na utayari wa kufanya biashara ya genge , yani itakuwa unafanya kazi iyo ya genge kwasabab ya kujaribu hautikuwa tayar kuikubar, lakin ukiifanya kaz kwa kuipenda yan hata biashara ikilegalega utakuwa bize kuiinua tofaut na ile uliopewa idea na mtu bila utayar ikifika tu imekwama biashara utajikuta unakata tamaa kwasabab haukuwa na utayar kuifanya zaid ya kuijaribu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…