I have this great idea abt business and i believe in it 200% but the issue is it need a large capital like 100mills TSH.. therefore if kuna m2 anaweza kunipa ushauri vile naweza kupata mkopo wa huyo pesa au mkopo wa mashine.. kwasababu nijuavyo kupata mkopp bank mpaka uwe na asset ya kuweka na sina coz i am a student..so kama kuna m2 anaweza kunishauri nifanyeje au njia gani nipite i will apriciate so much.