Nina mpango wa kuoa divorced lady | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina mpango wa kuoa divorced lady

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by rosemarie, May 18, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Nimetembea huko na huko hatimaye nimekutana na mwanamke nikampenda lakini akaniambia yupo divorced na mtoto mmoja,naomba wataalam mnishauri kama ni idea nzuri kumwoa mwanamke kama huyo!yanaweza kunikuta makubwa mbele ya safari?
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sisi tufanyeje kama umempenda si ni wewe
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  ndio nauliza wenye exprience ya mambo hayo,je ni vizuri kufanya vile?
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  It depends on who she is.........because at the end of the day it is the heart that makes a woman and not what she has with her!!
   
 5. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,417
  Likes Received: 1,966
  Trophy Points: 280
  jaribu kukaa na wazee wako watakupa ushauri mzuri na vitu gani ufanye kabla ya kuchukua maamuzi ya kuoa kama kuangalia sababu ya kuachana kwao, malezi ya mtoto n.k. Usikurupuke kwenye ili jambo unaweza ukajuta baadae wakati umeshafunga ndoa

  Michango na maoni ya mtandaoni wengi wanaotoa ni vijana ambao umri wao si mkubwa na hawana uzoefu wa kutosha kwenye changamoto za mahusiano hivyo tafuta wazee wenye busara au viongozi wa dini wakakushauri

  Me binafsi nakushauri tafuta binti ambaye hajawahi kuolewa na asiye na mtoto utakuwa kwenye safe side zaidi (ni mtazamo tu)
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  umeshindwa kabisa kupata kitu fresh?kumbuka ipo siku watakumbushia enzi zao
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Tubihonesti huyo mwanamke umuoe tu kwasababu hizi hapa.
  1. Anauzoefu na masuala ya ndoa
  2. Una uhakika kwamba anazaa
  3. Kama kaachika kwasababu ya makosa yake amekwisha juta hivyo kwako atajirekebisha
  4. Amekubali kuolewa na mtu asiye na experience na masuala ya ndoa hivyo kakupenda japo huna uzoefu.
   
 8. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  chunguza kwanza chanzo cha kuwa divorced and then ujumlishe na zako utapata la kufanya
   
 9. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,471
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Mwanamke kama huyu unatakiwa kua makini sana kabla ya kutangaza ndoa, wanaweza wakawa wameachana kimakosa na baada ya kugundua makosa yao wakaamua kurudisha mapenzi yao.
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na wewe
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  waliachana miaka mitatu iliyopita na jamaa alishaoa mwanamke mwingine
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  lakini waku kuna wanawake kibao wanaishi na jamaa zao na hatujui,mwisho wakija kuachana tunakutana nao na tunaoa na hakuambii kuwa amewahi kuishi na jamaa,naona poa tu
   
 13. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Kwanza wewe kabila gani? Kama mila zako zinakuruhusu songa mbele(najua dini zote hazina kipingamizi??) ingawa nisingelikushauri kuoa "KAYAMBA". Katika wasichana wote TZ nzima hukuona anayekufaa mpaka "Kayamba" Kwa nini hutaki msichana? Nadhani wewe ni dhaifu wa mapenzi!! Makabila mengine kuoa "Kayamba" ni kashifa kwako, unaonyesha to what extent you are weak to women love.
   
 14. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  from christian point of view, kama huyo mwanamke hakuachwa isipokuwa kwa sababu ya uasherati usimguse mwache katafute kitu chako kipya ingawa waweza kukikuta used tayari but not married.
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2014
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Mkuu hebu acha kashfa.. Huna madada huna ndugu wa kike, huna watoto wa kike?

  Mbona huwa mnawadhalilisha sana wadada waliozaa kabla ya ndoa??

  USIMCHEKE MKUNGA UZAZI UNGALIPO... Mungu akusamehe!
   
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2014
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Mkuu hebu acha kashfa.. Huna madada huna ndugu wa kike, huna watoto wa kike?

  Mbona huwa mnawadhalilisha sana wadada waliozaa kabla ya ndoa??

  USIMCHEKE MKUNGA UZAZI UNGALIPO... Mungu akusamehe!
   
 17. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2014
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Msamehe bure hajui asemalo.
  Anahisi amemaliza kwenye maisha kumbe hana ajualo.
   
 18. s

  shreak Member

  #18
  Mar 28, 2014
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Dear Rosemarie,
  Maisha ni safari, na kwenye safari kuna milima na mabonde hakuna msafiri anayepanga safari yake ili iishie njiani, wengi wanatamani kufika mwisho wake salama wakati mwingine inatokea mtu analazimika kughairi safari labda kutokana na mazingira.
  Huwa nafananisha maisha ya ndoa na safari ambayo kila mtu anatamani kuwa na mwenzie mpaka uzeeni. Huo ni mfano mfupi, mtalaka si lazima awe anashida yeye inawezekana inawezekana mwenzie ndo alikuwa na shida wa trust me kuna mtu namfahamu alimwacha mke wake mzuri si kwa sura tu bali moyo mkarimu mpole, mchapa kazi mwanamke alimpenda kwa dhati mwanaume alikuwa hana kitu mdada akajitahidi kumsaidia mume mpaka akafanikiwa kimaisha baadae yule mwanaume alimuacha yule mwanamke kisa kapata mdada wa mjini kamuona mke hana maana zile pesa zikamfanya akawa malaya anatongoza mpaka mashemeji zake mke akavumulia akashindwa akaondoka kuanza maisha mifano iko mingi lakini kikubwa ni kama mmependana na umeona tabia yake iko sawa na mnaelewana we endelea na Mungu awajalie safari yenu.
   
 19. k

  kovai tamil taiga JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2014
  Joined: Sep 28, 2013
  Messages: 394
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Mkuu hapa ni kama jiwe umelirusha gizani! Wengi wa hawa dada zetu wanaolalamika hawana maadili ya kujituliza ndoani au kujitunza kabla ya ndoa.Aidha wamezaa ovyo ovyo kabla ya ndoa au divorced!
  Hofu kuu hapa ni kubaki dungayembe! Kuna ukweli fulani hapo..!
   
 20. A

  Albosignathus JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2014
  Joined: Apr 26, 2013
  Messages: 4,822
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 135
  Tatizo domo lako zege,kuanzisha huwezi mpaka tuanze sisi tuchakaze ndipo na wewe upende.Huyo aliemzalisha atakuwa anagonga kama kawa mkuu.Yaani mabinti wote hawa huwaoni mpaka ukachukue MARAPRAP? Nakupa jina jiite 'KUNGURU WA MIZOGA KUANZIA LEO'
   
Loading...