Nina mpango wa kuoa divorced lady

Mkuu, inategemeana na mtu, lkn upendo umfanya mtu kuwa kipofu, lkn chukua fursa twende zetu, mambo mengine mbele kwa mbele kama ijualikanavyo utavuka maji ukikutana na mto.
 
Kwanza wewe kabila gani? Kama mila zako zinakuruhusu songa mbele(najua dini zote hazina kipingamizi??) ingawa nisingelikushauri kuoa "KAYAMBA". Katika wasichana wote TZ nzima hukuona anayekufaa mpaka "Kayamba" Kwa nini hutaki msichana? Nadhani wewe ni dhaifu wa mapenzi!! Makabila mengine kuoa "Kayamba" ni kashifa kwako, unaonyesha to what extent you are weak to women love.
Hivi tumewakosea nini jamani? KAYAMBA ndo nini? Hao wasichana unaopendekeza aoe unajuaje kama ni wasichana? Mbona mume wake keshaoa? au yeye si KAYAMBA kwa kuwa mwanaume ni SUPERIOR RACE NEXT TO GOD? Bro, sikiliza moyo wako, changanya na akili. Issues zinazohusiana na ex wa mkeo na step-child unatakiwa ujue kuwa ni changamoto zinazokusubiri. Kama we ni mwanaume unayejua unachokitafuta kwa mwanamke na umeona huyo mwanamke anacho basi amua kama utaweza kukabiliana na hizo changamoto. Na ni mambo madogo kama wewe na mke wako mtaamua kuwa mnataka uhusiano wenu udumu. Swala la msingi ni nia ya ninyi wawili. Mengine yote yatategemea mtakavyoyachukulia. Ukiwa na amani moyoni oa, kama unasitasita kamwe usioe - huyo wala yeyote.
 
Mzalishe watoto watatu ndipo ufunge nae ndoa.usiwe na wivu mume wa kwanza akijikumbushia,mabinti wote hawa huwaoni?? Au domo zege sana,kwanini uchukue maraprap badala ya nyama?? Utajiju na ubwege wako,kwanini usituombe sisi wanaume wenzio tukupe mbinu za kutongoza mabinti na sio silipendwa ?? Mimi nina miaka 35,nimegegeda wanawake 360 katika maisha yangu na jumapili hii naoa binti wa miaka 20,hajazaa.kalagabao!
umegegeda wanawake 360...... una miaka 35 maraprap bla bla bla...halafu unajiita mwanaume wa kuombwa ushauri wakati we ndo unahitaji ushauri. Unajiona umesimama! kichefu chefu,,,,,,,,,,,
 
kweli! Siku mko chumbani then anakwambia nimemmis mume wangu wazamani, utafanyaje?

kwani akioa ambaye hajazaa siku wako chumbani akamwambia amemmisi ex bf wake atafanyaje? Wapo pia mabikira ambao wanaolewa lakini mioyo yao wameacha kwingine. Ongeza wigo wa kufikiri kwako.
 
jaribu kukaa na wazee wako watakupa ushauri mzuri na vitu gani ufanye kabla ya kuchukua maamuzi ya kuoa kama kuangalia sababu ya kuachana kwao, malezi ya mtoto n.k. Usikurupuke kwenye ili jambo unaweza ukajuta baadae wakati umeshafunga ndoa

Michango na maoni ya mtandaoni wengi wanaotoa ni vijana ambao umri wao si mkubwa na hawana uzoefu wa kutosha kwenye changamoto za mahusiano hivyo tafuta wazee wenye busara au viongozi wa dini wakakushauri

Me binafsi nakushauri tafuta binti ambaye hajawahi kuolewa na asiye na mtoto utakuwa kwenye safe side zaidi (ni mtazamo tu)
Tutake radhi ndugu wengine tu watu wazima na busara zimejaa tele.
 
umegegeda wanawake 360...... una miaka 35 maraprap bla bla bla...halafu unajiita mwanaume wa kuombwa ushauri wakati we ndo unahitaji ushauri. Unajiona umesimama! kichefu chefu,,,,,,,,,,,

Wewe utakuwa ni nungayembe a.k.a danger zone,umezalishwa kwenu watoto 3 alafu unataka uolewe na mwanamme ambaye hana mtoto,tena nasikia unadai eti humpi papuchi mpaka akuowe,eti wewe ni mwaminifu!!! Labda upate domo zege kama huyu jamaa lakini mimi hata papuchi yako sitaki,papuchi imetoka watoto 3 ya nini hiyo.leo naowa karibu
 
Kah! Mwataka fresh! Mbona karibia wote mna watoto au mmeshiriki kutoa mimba au kushiriki kutoa bikira za watu au kugegeda vya wenzenu na vya dezo kama bar m.a....d na hou.. egi..l. kataeni nisikie.
 
umeshindwa kabisa kupata kitu fresh?kumbuka ipo siku watakumbushia enzi zao

Bongolala ...Hivi kitu fresh ambacho pia kimeshatoa mimba 3-5 bado kinaitwa fresh au unajipa moyo kwamba ni kitu fresh.....:juggle:
 
Hivi tumewakosea nini jamani? KAYAMBA ndo nini? Hao wasichana unaopendekeza aoe unajuaje kama ni wasichana? Mbona mume wake keshaoa? au yeye si KAYAMBA kwa kuwa mwanaume ni SUPERIOR RACE NEXT TO GOD? Bro, sikiliza moyo wako, changanya na akili. Issues zinazohusiana na ex wa mkeo na step-child unatakiwa ujue kuwa ni changamoto zinazokusubiri. Kama we ni mwanaume unayejua unachokitafuta kwa mwanamke na umeona huyo mwanamke anacho basi amua kama utaweza kukabiliana na hizo changamoto. Na ni mambo madogo kama wewe na mke wako mtaamua kuwa mnataka uhusiano wenu udumu. Swala la msingi ni nia ya ninyi wawili. Mengine yote yatategemea mtakavyoyachukulia. Ukiwa na amani moyoni oa, kama unasitasita kamwe usioe - huyo wala yeyote.

Dada pole. nakubaliana na wewe kabisa. Ila sisi wengine tunakuwa-driven na mila na jamii zinazotuzunguka. ingawa mila mbaya tuziache nami niliziacha zamani, lakini la koua mwanamke ambaye amezaa "KAYAMBA" mila hiyo bado naiunga mkono maana naona ni bora kijana uoe msichana! Na msichana aolewe na kijana, kwa wanaume walio oa unatafuta nini?
 
Mkuu swali gumu sana kujibu.kwani inategemea na mtu si kwamba wote ni sawa.lakini omba mungu jaribu
 
Wakuu,

Nimetembea huko na huko hatimaye nimekutana na mwanamke nikampenda lakini akaniambia yupo divorced na mtoto mmoja,naomba wataalam mnishauri kama ni idea nzuri kumwoa mwanamke kama huyo!yanaweza kunikuta makubwa mbele ya safari?

rosie we ni msagaji????
 
miss rosie we ni msagaji????
 
Back
Top Bottom