Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,307
- 40,110
Argentina kachukua wedi kapu mkuu
Na kupigwa mashine kwa sanaAlafu weekend kama hii unaenda job,ilitakiwa saizi uwe unakunywa vitu laini
Watasema tu nimekuua .sitaki bna.wabongo wabayaaaNitunuku hutaki waje wa sema nimeacha mjane mmoja jaman
Deni hata nchi inadaiwaDawa ya madeni ni kulipa sio kudanganya watu kwamba umekufa.
Kumbe unajua,nikutafute lini sasaNa kupigwa mashine kwa sana
Wwe lipa deni. Acha kuruka ruka kama maharagwe yanayochemshwa.Deni hata nchi inadaiwa
Utajijua mwenyewe na madeni yakoWwe lipa deni. Acha kuruka ruka kama maharagwe yanayochemshwa.
Sitaki bna.punyeto zipoKumbe unajua,nikutafute lini sasa
Kwani umeharibu nini Mkuu?Utajijua mwenyewe na madeni yako
Kuna kitu nimekinusa sehem sasa wanataka waniondoe ili njia yao iwe nyepesiKwani umeharibu nini Mkuu?
Haha we mtotoSitaki bna.punyeto zipo
Hama nchiKuna kitu nimekinusa sehem sasa wanataka waniondoe ili njia yao iwe nyepesi
Nimapema sana ngoja niangalie upepoHama nchi
Maandalizi yake ni makubwa na yanataka umakini wa hali ya juu sana... Ukikosea kidogo tu umevuruga kila kituHabari za jioni wanajamvi natumai nyie wote ni wazima nijielekeze kwenye maada
Kunastuation flani ambayo ninakabiliana nayo naili kufanikiwa kwa usahihi na bila kuharibu na kuvuruga utaratibu mzuri inanibidi kutengeneza kifo (Fake Death) ili kuwaaminisha baadhi ya watu kuwa nimekufa ili niwe huru kufanya baadhi ya mambo nitareta mrejesho soon
Unavopenda ugali wewe! Sidhani Kama utakuja kujaribuMim hata kujaribisha kifo sitaki