Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Hahahahaha kama nakufa nife tu sio kujaribishaUnavopenda ugali wewe! Sidhani Kama utakuja kujaribu
Hahahahaha kama nakufa nife tu sio kujaribishaUnavopenda ugali wewe! Sidhani Kama utakuja kujaribu
Tusimulie basiNimewqh kufake death mkuu ntakuja kusimulia ilibidi nifanye vile sikua na jinsi
tuendelee kupata pata hapaa akirudi atatuelezea kwa kina.Sidhani kama nitakuwa nimekuelewa vizuri,so nikusema ukisha fake hiyo death kuna manufaa yoyote tutayapata kutokana na hilo tukio?
Fafanua vizuri siyo ukapige hela huko then utuchomeshe sisi mahindi hapa.
Alikuwa na sababu za kijingaKuna jamaa ali fake death miaka ya nyuma kisa baba yake na ndugu zake walikuwa wanamtegemea kiuchumi
Aliandika barua akijifanya ni mtu mwingine na kumpa mtu aicopy kama ilivyo kuwa flani kafariki dunia
Matanga yalifanywa
Dunia mbaya hii
Hapana nae alikuwa na sababu zake kama unavyofanyaAlikuwa na sababu za kijinga
Alikesh wa Chuga ? Hivi huyu naye alitengeneza kifo ?Nimemkumbuka Alikesh
Hii nayo ni sarakasi! Lakini nilihudhuria mazishi yake makaburi ya Baniani akichomwaNimemkumbuka Alikesh
We jamaa kichwa chako kikovizurHII NAIPATA KWA MICHAEL KATIKA PBREAK (MWISHO WA SEASON 4) ILI AFANYE MISHEN YA SANAA....HII PIA NAIPATA KWENYE INNOCENT DEFENDANT JAMAA KAMUUA PACHA WAKE ILI ABEBE MAKOSA YAKE NA KUCHUKUA NAFASI YAKE YAN YY DOTO ANAISHI KAMA KURWA......HII NDIO BILALI THEORY MAREHEMU HATAFUTWI...WENGINE WAKAMUHUSISHA NA IVAN ALIYEKUWA MUME WA BOSS LADY ZAR BUT IZI NI FUNUNU ILA HII MAMBO IKO HASA KWA WAHUJUMU UCHUMI...OSAMA NAE KAINGIZWA KWENYE LIST KWA WALE WANAOAMINI NI AGENT WA USA...PROVE ME WRONG
Haya yanaweza kuwa matunda ya udukuzi, hahahahahDaaah duniani kuna mambo mazito
Ujaribu halafu Sabi abaki na nani?Mim hata kujaribisha kifo sitaki