Nina mpango wa kujitengenezea "Fake Death"

Kuna jamaa alijitangaza radio one amefariki daah watu wakajichanga kijijini wakatuma na hela ya kumleta azikwe.siku ya kuleta maiti akaja mwenyewe na watoto sita. Alikuwa amepotea miaka kama 20 hivi .kumbe alitaka nauli tu maskini
Ahahahahahahah uwi walimfanyaje sasa
 
Kuna jamaa alijitangaza radio one amefariki daah watu wakajichanga kijijini wakatuma na hela ya kumleta azikwe.siku ya kuleta maiti akaja mwenyewe na watoto sita. Alikuwa amepotea miaka kama 20 hivi .kumbe alitaka nauli tu maskini
Me naona vizuri tu,maana angeomba maybe nauli wasingemsaidia
 
Kweli dunia imepata ajali ww ifake hio death yako halafu ukifa kweli utajifunza.

Mpumbavu tu ndie anayejifunza kwa makosa yake mwenyewe ila wenye hekima hujifunza kwa makosa ya wenzao
 
Hulijui usemalo
 
Kuna jamaa alijitangaza radio one amefariki daah watu wakajichanga kijijini wakatuma na hela ya kumleta azikwe.siku ya kuleta maiti akaja mwenyewe na watoto sita. Alikuwa amepotea miaka kama 20 hivi .kumbe alitaka nauli tu maskini
Duh hii kali asee. [emoji23]
 
kuwa makini kuna msemo moja kwa lugha ya kichato unasema "Fake it till you make it"
 
Back
Top Bottom