Nina mpango wa kujitengenezea "Fake Death"

HII NAIPATA KWA MICHAEL KATIKA PBREAK (MWISHO WA SEASON 4) ILI AFANYE MISHEN YA SANAA....HII PIA NAIPATA KWENYE INNOCENT DEFENDANT JAMAA KAMUUA PACHA WAKE ILI ABEBE MAKOSA YAKE NA KUCHUKUA NAFASI YAKE YAN YY DOTO ANAISHI KAMA KURWA......HII NDIO BILALI THEORY MAREHEMU HATAFUTWI...WENGINE WAKAMUHUSISHA NA IVAN ALIYEKUWA MUME WA BOSS LADY ZAR BUT IZI NI FUNUNU ILA HII MAMBO IKO HASA KWA WAHUJUMU UCHUMI...OSAMA NAE KAINGIZWA KWENYE LIST KWA WALE WANAOAMINI NI AGENT WA USA...PROVE ME WRONG
 
Huu ndio mtihan nilionao
Pole.... Is faking death necessary for you to accomplish whatever that is? Una familia (mke +watoto?) ,wazazi???? How would u feel watu walie, waumie nafsi na wamlalamikie Mungu kwa ajili yako ukiwa hai??? Huoni ni kitu kibaya??
If there's another option fanya ila sio hiyo esp. if it has to do with money. Huko uendako unaweza ufe au upate majanga kweli na ndugu zako wasijue coz to them you are dead already.
Sijui lakini, hayo ni mawazo yangu.
I'd rather upotee tu bila taarifa for the time u'll be on that mission andaa mazingira familia uiache vizuri then vanish.
Yani nawaza ukifake Death wakianza ku-gawana mali zako ama kusumbua familia yako, utavumilia kuona hivyo na kukaa kimya coz "u are dead falsely ?"
Fikiria utakaowaacha na maumivu watakayo pata.
 
Habari za jioni wanajamvi natumai nyie wote ni wazima nijielekeze kwenye maada
Kunastuation flani ambayo ninakabiliana nayo naili kufanikiwa kwa usahihi na bila kuharibu na kuvuruga utaratibu mzuri inanibidi kutengeneza kifo (Fake Death) ili kuwaaminisha baadhi ya watu kuwa nimekufa ili niwe huru kufanya baadhi ya mambo nitareta mrejesho soon
giphy.gif
 
Asante kwa ushauri but I have nothing to do with it njia pekee iliyo baki ni fake death
 
Habari za jioni wanajamvi natumai nyie wote ni wazima nijielekeze kwenye maada
Kunastuation flani ambayo ninakabiliana nayo naili kufanikiwa kwa usahihi na bila kuharibu na kuvuruga utaratibu mzuri inanibidi kutengeneza kifo (Fake Death) ili kuwaaminisha baadhi ya watu kuwa nimekufa ili niwe huru kufanya baadhi ya mambo nitareta mrejesho soon
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom