Nina mpango wa kuhamia Morogoro kwa nia ya kutafuta maisha

Nmekuelewa sana mkuu ni mchanganuo mzuri yaliyobaki yote ntajiongeza mwenyewe ikiwemo kukoboa ili niuze mchele
 
Kuhuxu kua karibu na jamii hilo niko vizuri na pia ntafata taratibu zote za kisheria ndugu yangu nashkuru sana
 
Nashkuru sana kwa ushauri wako mkuu
 
Hyo kukoboa unajipa muda miezi mitatu ndo unakoboa upate faida nzuri.....mengineyo ukiishi kule lazma ulime upate experience
Kukodi heka mbili 100,000
Kulima kwa trekta 100,000
Kumwaga mpunga 100,000
Jumla 300,000
Ukijumlisha kung'olelea, dawa inaongezeka kidogo.....

Kumbuka confidence yako kubwa itakuwa kwenye roba 15 ulizonunua ukaweka stake.....ikipita miezi mitano utakua ushakua mwenyeji na mke umepata!!!
Nmekuelewa sana mkuu ni mchanganuo mzuri yaliyobaki yote ntajiongeza mwenyewe ikiwemo kukoboa ili niuze mchele
 
Ndugu zangu wa morogoro poleni sana kwa yaliyotokea hatua budi kumxhkuru mwenyezi MUNGU na kuwaombea wale wote walioaga dunia wapumzke kwa amani bila kusahau majeruhi waweze kupona kwa muda waliopangia na mkuu wa dunia na mbingu,,,, kwa hayo yote yaliotokea bado ninamsmamo wangu uleule wa kuhamia morogoro,, asanten na usiku mwema
 
Vipi unaenda lini
 
Unajua ulichoandika?
 
Hongera zako mkuu,,, pambana ipo siku utatoka
wasikujaze woga mm nilipotoka shule miaka ya 2000 mwanzoni,nilizamia huko mlimba Nina 20000 tu mfukoni.nilikomaa kule nalima huku nawinda nyama pori kwa mwaka 6 nikawa mwenyeji nikajenga na kakibanda nikatoka shavu.mpaka Leo Nina nyumba kule na ardhi.usiogope
 
Duuuh,,,,, dedication ndio ktu cha muhimu,,, nashkuru kwa kunitia moyo brother
 
Mkuu wewe unaongelea enzi ya zamani wakati huo hata JK hajaingia madarakani utalinganisha na leo kweli?
Miaka hyo vyuma vilikuwa havijakaza na kulikuwa na neema kwenye kila biashara.
 
Ivi kwann majority ya watz hatupendi kusaidiana huku tukijua kabsa hamna mtu anajua kesho yake!!! Haya maisha yanamwisho wake na ipo siku utaacha vyote hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…