Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 519
- 670
KATAA NDOA x ⁹
DuuhMiaka 19 mimi nilikua nacheza makopo kumbe kuna watu wameolewa? 🙄
Mkuu jibu lako lipo hapa,ukiwa unamridhisha kitandani hata tabia njema atajifunza mwenyewe...kiufupi mwanamke ana MASIKIO matatu,achana na haya mawili ya kwenye kichwa lipo lingne lipo katikat ya mapaja yake ukilizibua vzuri huwa wasikivu mno!...Sie wenzenu tunaamkiwa shikamoo baba flani na magoti juu maana sikio latatu tumelizbua vzuri!Ukiwa unapiga machine vizuri huwa anakuwa kama mwanafunzi shule seminar.
Kuna haja ya kueleza kwa kina?
Nimekuuliza ni kabila gani hujajibuwakuu nimefuatilia maoni yenu kwa ukaribu zaidi,,,niseme tu ahsante kwa kuonesha kujali,,ngoja niunganishe baadhi ya mawazo niliyoyaona yanafaa halafu nitengeneze msimamo wangu,,, nitarudi kuwapa mrejesho kitakachotokea
Mkuu kwenye uchambuzi wako chukua na hiiwakuu nimefuatilia maoni yenu kwa ukaribu zaidi,,,niseme tu ahsante kwa kuonesha kujali,,ngoja niunganishe baadhi ya mawazo niliyoyaona yanafaa halafu nitengeneze msimamo wangu,,, nitarudi kuwapa mrejesho kitakachotokea
Unachosubiri ni nini ufe kwa ugonjwa wa moyo,kataa ndoa kwa afya yakohapana sina gubu,,,dem huyu anazingua sijui atakuwa atakuwa anarubuniwa na washikaji hata sijui,,,na tumefunga ndoa kabisa ya kiserikali
Hongera,mmedumu mda ganiNampenda sana single mama wangu. Unajua kwanini niliamua kumwoa yeye?
Nilikuwa na machaguo manne. Mmoja alikuwa muuguzi, wa pili na wa tatu walikuwa mabinti wako kwa wazazi wao. Wanakula na kuishi free. Wa nne single mama, anapambana kulea mwanae bila msaada wa baba mtoto.
Yuko kwa wazazi lakini hawamsaidii kumtunza mtoto. Anapiga vibarua na mtoto mgongoni.
Nilimchagua single kwa kuamini kuwa kapigwa na maisha na atakuwa na akili. Na ni kweli ana akili za maisha. Hakuna kumpangiabkazi. Anapanga, anatoa taarifa au kuomba kuwezeshwa kisha anafanya. Na chenji ikibaki nitaonyeshwa au kuelezwa matumizi.
Msichana miaka 19 anajua nini kuhusu maisha? Ni mtoto na kichwani hazimo. Katoka kwa wazazi wake akilelewa kama broiler na kuja kwako. Hajawahi kupigwa na upepo wa maisha.
Mvumilie tu, akiongezeka hadi 25 hivi, akili itapevuka na atakuwa mke mwema.
Kwa sasa kuwa mpole tu kijana wangu. Hawa mabikira wanahitaji kubikiriwa hadi akili.
Kwanini ujiingize kwenye utumwa wa ngono kisa kumridhisha malay@Ukiwa unapiga machine vizuri huwa anakuwa kama mwanafunzi shule seminar.
Kuna haja ya kueleza kwa kina?
Mwache, oa mwingine...Wanawake wapo wengiwakuu nina mke kiburi sana,
Kila ninapo muelekeza afanye kazi fulani basi hupuuza na kukaushia tu.
Yaani hadi nimechoka nahisi ananidharau hivi sasa sijui cha kufanya sijui nimtimue au nifanyeje?
Naomba ushauri wenu wakuu nimfanyeje mwanamke kama huyu?
Kwahiyo Jamaa akiwa Mkali ndio iwe kibali cha Mke kuwa na Kiburi? Wazee wetu karibu wote au 98% walikuwa wakali kwa wake zao...lakini wake zao (Bibi zetu) walikuwa na Unyenyekevu na UtiiIshi nae kwa akili bro...jaribu kukaa nae muongee kiutu uzima muulize shida ni nini.
Halafu punguza mfumo dume, unaonekana ni mkali sana kwa mkeo.
Uko wapiyaani huyu mwanamke ni pasua kichwa, ana kiburi hatari nilishapiga sana hadi nimechoka, mwenye uzoefu na mambo haya tafadhali aniokoe