Ukitaka Aman Oa mwanamke
[emoji117]asokua mlevi
[emoji117]Mwenye hofu na Mungu na mcha Mungu kweli kweli !!.
Hutosikia
[emoji117]anakutukana
[emoji117]anakudanganya kama uyo wako
[emoji117]hakuheshim
[emoji117]anakudharau
Shida mnaoa sababu ana
[emoji117]Makalio
[emoji117]Mahips
[emoji117]mjanja na anayekwenda na wakat.
[emoji117] Ni Mrembo lakini sio Mzuri.
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117] Sikia Haijalishi we mwanamme ni Mlevi au husali /huswali ,Wakat wakuoa HAKIKISHA unaoa mwanamke asokua mlevi + anayesali !!
Niliwah sema , mwanamke ni Mjenzi wa familia , hakimu. Na mwalimu wafamilia , huyo mkeo automatically atakuja kuathiri tabia ya mtoto wako.
Ushauri Wangu kwako.
Show your Manhood , Ukimzoesha kuchukulia poa ,mwisho mazoea yatakua Tabia namwisho hutokaa umbadili, wakat wako niwasasa ,kua mkali , mpe Shule , na uwe unachukua maaamuzi magumu !!
Aiseee kua makini sana ,atakapovuka mstar wa heshima na aanze kukudharau ,we sio kitu tena!!!
[emoji117]inakuaje mwanamke akudharau???[emoji51]
[emoji117]inakuaje anakudanganya naww unajua ukweli nabado unatulia????[emoji51][emoji51]
Inakuaje hiiii????? Daaaaahhh Mimi sijui nipoje yaan ,sitakagi kujipa shida moyo Wangu , nando maana sijawah kua na siku mbaya linapokuja suala LA mahusiano. ( you love me ,I love you , nitakupenda kwa dhat ila ukishaleta mbwembwe nyingi Naamsha[emoji12] ).
Tumia " Fimbo na Carrots " , akikuona mkolon poa tuuu but for the sake of your Child na Furaha yako ,Do it !![emoji123]