Nina mke ananitukana

Nina mke ananitukana

Kipindi cha nyuma aliwahi kunisimulia kuwa alitoroka kwao na kwenda Tabora huko akapata mwanaume wakakaa miaka 2 lakini wakaachana na kurudi kwao hapo ndipo nilipokutana nae na baadae kumuoa, hayo ni machache lkn kifupi si mwaminifu, mgomvi, hana ushauri juu ya maisha na haniheshimu.
Mkuu mtu alikusimulia kwa kinywa chake madhambi yake nawe ukaridhia kumuoa pamoja na madhaifu yake. Huoni kama wewe ndie mkosaji, kwa sasa hamna namna vumilia tu maana uliridhia kiroho safi.
 
Mjinanga ww endelea kutumia na kuamini mandishi... Yaliyo kuwa edited
 
Nani kakudanganya mkifunga ndoa ya kikristo hakuna kuachana..sema huwezi kumuacha..
 
Kwangu mimi hapana huyo keshaishi na mwanaume miaka miwili anachezea migegedo whenever necessary, nonstop kwa miaka mbili!!

Huyo hapana.
 
Kwa haraka haraka naona kua huyo mwanamke ana elimu duni na pia yawezekana hajasoma hata shule...kama alisoma aliishia njiani design ya wanawake hao wapo vingunguti, buguruni, tandale, msasani na mbagala
 
Kaka mkubwa huyo nitatizo hata swala la baba mkwe kutaka umshirikishe huenda anajua tabia ya huo binti yake pole sana kwa hilo aliesema mkishaoana hamuwezi kutengana ni nani ?? Hebu rudi vizuri kwenye kipengele hicho kisha ulinganishe na mateso unayopata bila shaka utagundua hakipo kabisa makosa yakitokea huwa tunakaa kusuluisha ila mkeo huyo anahatari kubwa kuliko ulivyoelezea ushauri wangu mshirikishe huyo baba mkwe wako kwanza na usimfiche kitu ikiwa kuna umuhimu wa kusema kwa kina basi sema baadae utakua na hoja nzuri sana ya kukutoa katika balaa kubwa ulilonalo huyo sio mtu sahihi kwako mana huwaga wanachukua muda kubadilika pengine kwa unafki tu
 
Back
Top Bottom