asokua mlevi
Mwenye hofu na Mungu na mcha Mungu kweli kweli !!.
anakutukana
anakudanganya kama uyo wako
hakuheshim
anakudharau
Makalio
Mahips
mjanja na anayekwenda na wakat.
Ni Mrembo lakini sio Mzuri.


Sikia Haijalishi we mwanamme ni Mlevi au husali /huswali ,Wakat wakuoa HAKIKISHA unaoa mwanamke asokua mlevi + anayesali !!
inakuaje mwanamke akudharau???
inakuaje anakudanganya naww unajua ukweli nabado unatulia????

).
Kaka ni kitu gani unasubiri? Pole kwa yaliyokukuta.Habari wana JF, Mimi nina mke tumefunga ndoa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja kwa sasa ana miezi 8. Mke wangu ni mgomvi mno, kila ukimueleza jambo anapaniki hata kama ni zuri kiasi gani.
Kuna wakati anaaga anaenda sehemu kumbe anadanganya anaenda mahali pengine. Kuna siku baba mkwe akanipigia simu baada ya kujua kadanganya hakwenda alikoaga anaenda, akaniambia niwe namweleza kila uchafu anaofanya mke wangu. Lakini naona siyo poa kumwambia kuwa mwanao ananitukana na ni muongo.
Kipindi cha nyuma aliwahi kunisimulia kuwa alitoroka kwao na kwenda Tabora huko akapata mwanaume wakakaa miaka 2 lakini wakaachana na kurudi kwao hapo ndipo nilipokutana nae na baadae kumuoa, hayo ni machache lkn kifupi si mwaminifu, mgomvi, hana ushauri juu ya maisha na haniheshimu.
Kinachooniuma ni kwamba mimi ni mkristo na ndoa zetu zikifungwa hakuna kuachana. Nifanyeje? Nahitaji ushauri mzuri na wa hekima. Natanguliza shukrani.
ha ha mkuu umejuaje? Wanawake wakali wanaendelea kuwa wakali mpaka ndani...Hukufanya home work yako vizuri, you need only one good year kujua mwanamke wa aina hii, so hukufanya home work yako vizuri kabla ya kuamua kumuoa, hii ndo madhara ya kusema nataka kuoa mwanamke mkali kuliko wote mtaani na kwetu, haya huyo sasa, si bado ni mkali? Aha kumbe kuna zaidi ya mwanamke kuwa mkali?
ShukraniMkuu Hapo una kila dalili za kupoteza maisha kabla ya siku zako, huna mke Hapo, fanya maamuzi magumu
Kwel kabsaNani kasema wakristo hamwezi kuachana?
Ukiona analeta mizinguo mrudishe kwao tu chukua mtoto wako lea usiumizwe kichwa na mwanamke uchwara kama huyo.
NashukruPole sana...
Biblia inasema alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawez kukitenganisha. Lkn ikifika critical point nitachukua maamuzi magumu kwa kweliNani kasema wakristo hamwezi kuachana?
Ukiona analeta mizinguo mrudishe kwao tu chukua mtoto wako lea usiumizwe kichwa na mwanamke uchwara kama huyo.
Simply amemuoa mtu ambaye inaonekana hajawa tayari kuwa "mke wa mtu"!Oa Mwanamke mwingine muweke ndani ataacha kukutukana na Kuwa Muongo.. Kifupi umeoa Malaya na siku zote Asili haachi Asili yake.. Haijawahi kuwa Kunguru akafugika kama Kuku...
Ukiendelea kulea uovu kwa kumuogopa Baba Mkwe utaishia kuachia huyo mtoto wa Miezi minane umlee mwenyewe bila kujua Mama yake kaenda wapi kikubwa Hakikisha na Mtoto huyo ni wewe Baba yake...
Kikubwa Mwanamke akishakuwa shetani hata Shatenai Rucifier huwa anafumba macho
Nashukru kwa hekima hiiKuna jambo moja tu. Nimeona kuwa wewe ni kristo saafi sana na hutaki kumkosea Mungu uikose mbingu kwa sababu ya mwanamke Mungu aliyekupa. Hongera.
Ushauri:
Kwa kuwa wewe huwezi kumwacha huyu mwanamke, na kwa kuwa njia pekee ni kifo kuwatenganisha, basi rudi kwa aliyekupa huyu mwanamke umuoe siku zote za maisha yako. Mwombe mwambie, Baba naweza kushindwa na mtihani huu. Sasa niwezeshe kama ni lazima nikae naye. Lakini kama si lazima, nipe mwanangu nimlee mwenyewe. Nakuambia, kwa maombi hayo, iko siku, Mungu atatia kisirani ndani yake huyo kahaba, aondoke na kutokomea kusikojulikana nawe hutamsikia tena maisha yako yote.
Sikujui wala hunijui ila naweza nikakupa ushuhuda wa watu kama 3 hivi Mungu amewajibu nao wako huru kabisa leo. Wana nyumba zao nzuri tu. (Sio majengo bali familia ya baba na mama na watoto)
Alafu jamaa anaandika kwa maumiv makali mnooo ,daaaaahhhh !! Nmejisikia mpaka Hasira .Marapengine ukisikiliza matatizo ya ndoa ya mtu utapatwa na hasira na kujiuliza huyu mwanaume moyo wake ukoje? Je hana macho? Anazuiwa na nini kuachana na mtu asiemjali? Anavumilia ktk lipi? Kwann afunge akili yake kwa huyo mwanamke? Huo ni upumbavu achana na huyo kabla hata hamjafika mbali. Inaelekea hujui kutafuta mke unadhani kila mwanamke anafaa kuwa mke? Wengine ni mbwamwitu. Tafuta mwanaume mzee mwenye busara akuchagulie, hautajuta.

Hiyo ni biblia tu, sometimes inabidi kuchukua maamuzi kama mambo yanakwamaBiblia inasema alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawez kukitenganisha. Lkn ikifika critical point nitachukua maamuzi magumu kwa kweli