The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 7,807
- 25,597
Watapata tabu sana 🤣🤣🤣!Kwa akili hizi za wanawake, kuja kupevuka kifikra ni jambo lisilowezekana.
Mimba uibebe wewe, halafu uje udai ni mali ya mwanaume?
Mwanaume ana ileaje mimba, wakati wewe umeibeba?
Yaani unataka mwanaume akupe pesa za kula, kuvaa na kulala kisa tu alikupa utamu mwingi mpaka kupata mimba?

ukisema una mimba yake ina maana we unaikana unategemea yeye ataikubali??? Anyway pole sana