Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
Pole sana rafiki
 
Mchafu wa nini ?
 
Pole sana
 
Huna namna tulia,usimtukane kama unawajua ndugu zake nenda kawaambie,kama huwajui tafuta ndugu yako mmoja umweleleze ilibakaongee nae.
 
Kama sio mmeo basi kubali matokeo tu

Kama hukuuona uchafu wake mwanzo na sasa unausema
Basi una tatizo
 
Back
Top Bottom