Nina mimba yake lakini kanitelekeza!

Pole dear.... Nisikufiche kua single mother ni Kazi ngumu sana.... Unatakiwa ufanye Kazi kwa bidii.... Sa hv na hata ukijifungua usijihusishe na mwanaume yoyote... Jihusishe na kutafuta na kufanya Kazi....... Na siku huyo baba mtoto akirudi jitahid sana kutuliza hisia zako usijaribu kumrudia
Well said
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe

Dalili za kutelekezwa uliziona kabla hujapata mimba ila ukafunga macho na masikio
 
Wanawake mmezidi kubambikiza ndio maana tunakataaga sikuhizi kulea kiumbe ambacho si chako ni upiz hasa kuwa mzazi wake katuliza kende tuuu

Pole sana mlee mtoto huyo
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
Binti kwani matumizi hakupi? Maana hapo naona kama Jamaa amekimbia majukumu yake ila kama anakupa kuwa mpole vumilia wanaume wengine ukiwa na Mimba inawezekana unamkwaza Hadi anashindwa kukaa na wewe
 
Pole sana. Jitahidi usimtafute kumuuliza wala kumuomba chochote mpaka akutafute mwenyewe. Hata ukijifungua usimtafute maadam taarifa ya ujauzito anayo. Niamini na hichi nachokwambia, usimtafute! Nguvu yako iko hapo.
 
Kwa bandiko lako hili hapa ni dhahiri na wewe ulienda gym kuwinda na kushawishi vijana wenye six pack sasa wamekulisha kande zilizochacha umevimbiwa unalalamika,sometimes kulikuwa na mwamba alitaka hadi kukuowa but kwa kukosa kwake six pack ukamuona lofa.

Kimasihara masihara unaenda kuwa single mama!yaani unaenda kuongeza kelele mtaani za wanaume wote ni mbwa kumbe mbwa ni wewe uliyeshindwa kuyatuliza mapaja yako.
 
Unabebaje mimba nje ya ndoa
mjinga kabisa wewe
Were no mjinga. Wanaume wenyewe was kuoa wake wapi?

Nyie pimbi chips zimewaharibu mtaoa kweli?

Msichana afikishe miaka zaidi ya 25 si unawatakia majanga kweli?

Ndio wakati wanasema yeyote mwenye mkuyenge ni halali yake ili mradi azaee tu.

Ndio wanazaa na watch mapimbi kama wewe.

Huyo dada asilaumiwe sana ingawa ni mjinga mjinga, ana zaidi ya miaka 26 sasa. Alikuwa anadengua sana wakati chuchu saa 6.

Six pack bila hela ni sawa na tako bila kinyeo.
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
Single mothers asilimia kubwa huzungumza negative kuhusu wenza wao! Wengi huficha makosa kwa kutupa mzigo wa lawama kama hivyo kutelekezwa na wanaume,ilhali unaweza kuta yeye mwenyewe ndo mwenye makosa
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
Wakati unapanda hiyo mimba ulikuwa unachekelea, viuno kama vyote. Sasa subiria mavuno yake baada ya miezi mitatu, sio kulialia hapa. Nonsense
 
Were no mjinga. Wanaume wenyewe was kuoa wake wapi?

Nyie pimbi chips zimewaharibu mtaoa kweli?

Msichana afikishe miaka zaidi ya 25 si unawatakia majanga kweli?

Ndio wakati wanasema yeyote mwenye mkuyenge ni halali yake ili mradi azaee tu.

Ndio wanazaa na watch mapimbi kama wewe.

Huyo dada asilaumiwe sana ingawa ni mjinga mjinga, ana zaidi ya miaka 26 sasa. Alikuwa anadengua sana wakati chuchu saa 6.

Six pack bila hela ni sawa na tako bila kinyeo.
mbona umeumia sana mkuu, kwani na wewe una mimba na mwenye nayo kakimbia
basi pole
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
Huyu anakuwa mtoto wa ngapi?
Maana inaonekana upon vizuri kwenye kuzalishwa!

Ulikuwa na muongo muongo, ukamuacha ukiwa na mtoto, na kupata huyu wa gym nayeye tena anakuacha na mimba...so unakuwa single mother wa watoto wawili, usipobadili namna ya kufikiria na kuamua utafikisha watoto 5 na kila mtoto atakuwa na baba yake...
 
Kwa bandiko lako hili hapa ni dhahiri na wewe ulienda gym kuwinda na kushawishi vijana wenye six pack sasa wamekulisha kande zilizochacha umevimbiwa unalalamika,sometimes kulikuwa na mwamba alitaka hadi kukuowa but kwa kukosa kwake six pack ukamuona lofa.

Kimasihara masihara unaenda kuwa single mama!yaani unaenda kuongeza kelele mtaani za wanaume wote ni mbwa kumbe mbwa ni wewe uliyeshindwa kuyatuliza mapaja yako.

Huu msumari huuu unachomaaaaaaaa!!!
 
Mwanzo mapenzi hunoga sana mkishazoeana sasa ukute mwenzio ndio wale wasiojielewa na hawawezi kujikontrol hapo ndipo balaa linapoanzia!! Ilaa watoto ni baraka mamy!
 
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa

Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu wengine na gym ukweli ni kuwa huyu mwanaume ni mchafu sana nimemvumilia sana lakini kaamua kunitelekeza na mimba ya miezi 6 nataabika mwenyewe
Hongera sana unaenda kuwa mama! Usiangalie mazingira ya wewe kupata mimba badala yake mshukuru mungu anakuletea ndugu yako wa dam! Usimlaumu kabisa mwanaume huyo wala usijilaumu wewe! Hiyo ni baraka umepata!!

Rizik utapata tu na utashangaa mtoto anakua bila tabu yoyote!
 
Tatizo ni kwamba unaebeba mimba ni mwanamke, mwanaume ni mfanya mapenzi tu ova. Kuhusu mimba na watoto kulea ni majaliwa, mana yeye anabaki na kifanyia mapenzi na mimba ipo kwa mwingine. Maamuzi ambayo ni magumu kwa asiye na pesa ni kuteseka kulea au kuingia mitini
 
Back
Top Bottom