Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

Unafunga ndoa ya kanisani kabisa lakini mwisho wa siku unaishia kutoombewa. Inauma sana
 
Aisee uwa nkiskia stori za hivi napata shock, fkiria mtu ulivooa kwa mbinde, mahali mpk ulikopa benki, harusi ulvokomaa na wana kamati wengine mpk mkawa mnakwepan afu leo mpuuz mmoja hivi hivi jaman




Kitanda hakizai haram
 
Yani hivi viumbe bana ukikisifia tu tayar papuchi unapewa
 
Story hii haina ukweli wowote,nimeisoma vizuri Sana.ni hadithi kama zingine Tu.
 
Kweli wewe sexless, mara dume leo naona ni jike!!
Kwahiyo umeanzisha mada kuwarusha wanaume roho au!!!
 
Unazidi kuniondelea hamu ya kuoa jamani..![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
chagua moja.hipo siku ukweli utakuja kujulikana
 
Kumbe ndo ulicho nfanyia baby, kukupenda kote kule bado unanibambikia mimba? Na kwanini uendelee na tabia ya kuoshwa wakati nilikukataza na madhara yake nilikuambia? Kwanini unaniweka ktk wakati mgumu hivi? Kosa langu nini hasa kwako? Hadi umeamua kuzaa na muosha kucha?? This is too much indeed...Ooh my God!!!

Ok, sawa!! Siku yoyote jiandae kucheck DNA, nakuapia nikithibitisha ni kweli usemayo tunaagana siku hiyo hiyo, ili ukafurahie maisha ya muosha kucha..!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mtoto wa kike huyo, halaf ana momba now, acha apewe tusi mneso.
ila she deserves more yaan kanikera kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa wewe unakereka na hayakuhusu, je mumewe!!(kama story ingekuwa kweli lkn)
 
Subiri waje wataalamu watakufundisha, ila imekula kwako
 
Dah... Yani wanawake wengine ni shida afu utasikia naipenda ndoa yangu na umesahau kuwa uliapa madhabauni, me naona mumeo kaoa Malaya sio mke wa ndoa, mke lazima ueshimu ndoa pia mume hivyo hivyo afu unasema naogopa kumbambikia mume mimba sio kweli we fanya kama ulivyo kusudia usitake kutwambia kama ujui siku hatari za kunasa mimba
 
Hivi inakuwaje mtu unakaa kisha unaanza kutunnga utumbo wa kuku bila kuutoa mavi kiasi hichi
 
Atakataa vipi sasa wakati tunalala na kupakua kila siku? Anaanzaje kukataa? Wala hajui baba wa watu. Mm nimemwambia tu kuwa "mume wangu sizioni siku zangu". akasema baraka ya mtoto mwingine hiyo mke wangu.
Ila Brother unajisikiaje unapocomment kama mwanamke, na sisi tunakushauri kama mwanamke wakati unandevu zako japo umenyoa, kifua kama changu na watu wanakuchukulia kama mwanamke..

Unapenda kustatus za kike kike au kuna kautafiti unafanya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…