Hii ni siri yangu mm mume wangu hajui kabisa. Ila inaniumiza nafsi na kunikosesha raha.Ngoja mume wako aje akomenti
huwa nakupendaga wewe na mambo yako, but hili umezidisha jaman
whats that!!?
yesu na mariam,, yani kumbe na ufuksa huo unafanyia myumban kwa mumeoHuwa anakuja nyumbani
no kasema hakuwa na sabab
yaan she had no any reasons to cheat.
ayaaa mbona umempa tusi laini mkuu ? Cc:Iceman 3D:you disgusting worthless pig!!
![]()
Sexless = neither KE nor MEsexless nmekupata...hivi wakati mwingine unageuka kuwa mwanamke?..
kumbe uko vema sana kwa ubongo, ila katika siasa unajifanya mtupu. nimekupenda kwa leo
Mungu anakuona mkuu, amekataza binadamu kumhukumu binadamu mwenzieyou disgusting worthless pig!!
![]()
heheheheJamani si ushauri, ha ha haaaaa
Mnatufundisha wengine sisi humu humu JF, tunasoma na kusubiri kuandikia kwa wengine sio vibaya nao wajaribu kusevu ndoa zao jamani
Ila ingekuwa mwanaume mngetetea si ndio?
kipya kinyemi coco, sasa mtu washa kaa naye miaka, dudu ike ike wamebadilisha mapigo wamchoka, of coz akikutana na mtu anaye jituma kidogooo tuuu lazma ahisi mumewe hawez mambo.Ila kasema amepewa vya moto moto hata mume haoni ndani, kajaribu kapata utamu sasa afanyeje tena.
Alipungukiwa kitu hakujijua sasa amejua uroda wa tendo hilo.
Ni vizuri wanawake wakae na wakubwa wao wafunzwe maujanja na kusukuma wanaume kuwafikisha. Angekuwa anafikishwa na mumewe hasingehata pata hisia hizo kabisa.
Mboma mimi nimewahi kusafishwa nao na sijawahi kujisikia hata kidunchu cha kutenda hayo mabaya.
Maisha yana mengi kwa wengi.
ayaaa mbona umempa tusi laini mkuu ? Cc:Iceman 3D:
kwa hiyo hapo ilipaswa nikusifieMungu anakuona mkuu, amekataza binadamu kumhukumu binadamu mwenzie