DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,582
- 10,274
Unafunga ndoa ya kanisani kabisa lakini mwisho wa siku unaishia kutoombewa. Inauma sana
Teh teh teeeeh!! Umalaya wenu huwa hamuuoni!!Malaya utawajua tu, ndio maana unatetea sana ujinga kumbe ndio tabia zako hizi
chagua moja.hipo siku ukweli utakuja kujulikanaCeline Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".
Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lkn kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.
Kiukweli sina sabb ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwann nilimsaliti mume wangu. Sina sabb ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.
Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi ktk nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo Wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili.
Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.
Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lkn nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kiviiiiiile.
Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba nilyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mm, mume wangu na wazazi wangu.
Kumbe ndo ulicho nfanyia baby, kukupenda kote kule bado unanibambikia mimba? Na kwanini uendelee na tabia ya kuoshwa wakati nilikukataza na madhara yake nilikuambia? Kwanini unaniweka ktk wakati mgumu hivi? Kosa langu nini hasa kwako? Hadi umeamua kuzaa na muosha kucha?? This is too much indeed...Ooh my God!!!Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".
Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lkn kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.
Kiukweli sina sabb ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwann nilimsaliti mume wangu. Sina sabb ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.
Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi ktk nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo Wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili.
Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.
Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lkn nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kiviiiiiile.
Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba nilyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mm, mume wangu na wazazi wangu.
![]()
![]()
![]()
![]()
mtoto wa kike huyo, halaf ana momba now, acha apewe tusi mneso.
ila she deserves more yaan kanikera kweli
MmmhTeh teh teeeeh!! Umalaya wenu huwa hamuuoni!!
Ila Brother unajisikiaje unapocomment kama mwanamke, na sisi tunakushauri kama mwanamke wakati unandevu zako japo umenyoa, kifua kama changu na watu wanakuchukulia kama mwanamke..Atakataa vipi sasa wakati tunalala na kupakua kila siku? Anaanzaje kukataa? Wala hajui baba wa watu. Mm nimemwambia tu kuwa "mume wangu sizioni siku zangu". akasema baraka ya mtoto mwingine hiyo mke wangu.