255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,091
Kabisaaaaa
Mada za hivi ni mwiba mchungu kwa vidume.

Dah kweli kabisa mkuuNlisha sema mwanangu DNA itahusika, wanawake mnafunuliwa tu kama pazia
Celine Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".
Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lkn kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.
Kiukweli sina sabb ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwann nilimsaliti mume wangu. Sina sabb ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.
Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi ktk nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo Wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili.
Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.
Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lkn nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kiviiiiiile.
Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba nilyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mm, mume wangu na wazazi wangu.
Pima ngoma kwanzaCeline Dione, mwanamziki aliyetokea kuvuma na kupendwa sana ana wimbo wake ujulikanao kama "Love doesn't ask why ".
Msafisha kucha nimejikuta tu nimempa tunda na amelimega mara tatu tu lkn kishafunga goli. Nina mume wangu wa ndoa yenye miaka 4 na tuna mtoto wa miaka 3.
Kiukweli sina sabb ninayoweza kuitoa ikaeleweka kwamba kwann nilimsaliti mume wangu. Sina sabb ya msingi. Msafisha kucha alini-win padogo tu. Kuna siku aliisifia bikini yangu aliyoiona wakati akiniweka vizuri miguu ili asafishe kucha za mguu wangu wa kulia. Macho yake yalituwama kwenye bikini yangu ya rangi nyekundu.
Aliniongelesha mambo mengi huku mikono yake ikiamsha hisia zangu za kimapenzi zilizojaa kwa wingi ktk nyayo zangu. Kadri alipoendelea kusugua kucha zangu huku wayo Wangu ukiwa kiganjani kwake niliendelea kulegea. Alipoomba uroda sikusita, maana sikujiuliza mara mbili.
Nikampa siku ya kwanza, ya pili na ya tatu.
Baada ya kugundua mimba imeingia na siyo ya hubby wangu hofu imenijaa. Nimembambikizia mume wangu lkn nafsi yangu inanisuta. Na tangu nionjwe na huyo muosha kucha sifurahii mgegedo wa mume wangu kiviiiiiile.
Nifanyeje nirejeshe furaha na mahaba yangu kwa mume wangu? Sitaki ijulikane kuwa mimba nilyo nayo ni ya msafisha kucha. Ni fedheha kwangu mm, mume wangu na wazazi wangu.
Inategemea una chenji kiasi gani, DNA very expensiveSimwamin mwanamke maishan mwangu na simpi moyo wangu coz iko siku atanivunja moyo tu. Nikiona mtt nina mashaka nae DNA ni lazima tupimane. Siku hizi huwezi zaa na mkeo mpk wtt wa3 asichakachue mmoja hapo katikati
,,ungekua na wewe unajiheshim usingemzalilisha mmeo kwa huyo uliomtambua mchora kucha baada yakufunga goli la mkonohahaha![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa wewe unakereka na hayakuhusu, je mumewe!!(kama story ingekuwa kweli lkn)
Ndio hivyo bwana, leeni tu maana kitanda hakizai haramu.hahaha
imeniuma sana hii story kwa kweli
tatizo mumewe hajui anaona ni sawa tu anajihisi yeye ndio dokta mwaakaa, kumbe kitoto si chake