jolie123
Member
- Nov 1, 2016
- 6
- 5
Wee unamshaurije MTU aache kunyonyesha? Nani kakwambia MTU akiwa mjamzito kunyonyesha ndo basi? Mafunzo ya wapi hayo? Acha kukurupuka na kutoa mafundisho dhoofu na potofu.Acha kunyonyesha haraka sana bila hvyo utamuaharibu mtt anza kumpa mtt maziwa ya lactogen 1 na akifikisha miez 6 anza kumpa vyakula lain lain
Mjamzito anaruhusiwa kunyonyesha mpaka mtoto mwenyewe akatae. Virutubisho vya maziwa viko pale pale na havina madhara yoyote .