Boro Nanga
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 299
- 195
mipango sio matumizi
Okay. na unatarajia hadi kukamilisha ujenzi wako utatumia kiasi gani au ni hiyo 20M unataka ikutoshe.?Ninapokaa now nalipa 3.6Mn pa
Sitarajii imalize! Ila nilikua nataka kupata mawazo tuu! Nimeshaanza ujenzi na unaendelea vizuriOkay. na unatarajia hadi kukamilisha ujenzi wako utatumia kiasi gani au ni hiyo 20M unataka ikutoshe.?
Vizuri sana.Sitarajii imalize! Ila nilikua nataka kupata mawazo tuu! Nimeshaanza ujenzi na unaendelea vizuri
Vp mkuu tupe mrejesho ulifanikiwa?Habari wadau! Naomba kuuliza ukiwa na TZS 20 Milioni na unataka kujenga nyumba ya Vyumba 3 na Master unaweza kuanza na kufika hatua Gani?
Ntashukuru kama mtanipa estimate za kila hatua
Asantee
Tunasubiri utuandikie hayo maelezo murua kupitia computer ukitulia au siyo!?Sisi kuna sehemu tulimpa ramani ya ujenz wa kanisa, mafund wote waliotangulia kuanzia vifaa mpaka ujenz ni zaidi ya 30ml, hiyo ilkuwa kusimamisha nguzo 30 za jengi n.k
Kutoka kwake yeye, mambo yafuatayo akaanza kutueleza.
1. Raman inasema kila nguzo ni nondo 6 za 16mm, ila yeye ametuambia kwa ghorofa moja tu inayobeba watu 50 mpaka 70 na wingi wa nguzo, kila nguzo nondo 4 za 16mm zinatosha sana.
2. Mainjinia wanaweka mambo mengi ktk raman ili kusaidia kupatikana kwa kibali cha ujenzi.
3. Mafundi walipendekeza zile kokoto nyeusi, ila yeye akatuambia tutafute zile kokoto ambazo ni jiwe, na kweli tulizipata uko mbutu kwa 700k kipind kile, ile Mende Scania.
Mambo ni mengi sana, sio rahisi kuyaandika yote kupitia siimu.
Ameshakueleza bajeti yake ni mil.20,wewe bado unakomaa na descriptions.Pia msipende kujibu maswali kiurahisi ili uonekane wewe ni mtu wa maana kwa sababu unampa mtu moyo.
Sometimes mtu inatakiwa aondolewe kutoka fikra fulani kabla ya kuanza project yake.
Kwa mfano, mleta mada ni vizuri akishauriwa kuwa nyumba vyumba vitatu haielezi nini unachohitaji.
Angeleta ramani, au akaelezea size ya vyumba etc...
La sivyo tutakuwa tunajibishana tu, unaweza, huwezi, unaweza, huwezi ... kwa siku kumi. No description.
Nyumba ya vyumba 3 kwa mil.20 mkuu unataka afungukeje? Akutajie rangi ya nyumba?Option hapo imetoka wapi?
Saa zingine, kumwambia mtu afunguke zaidi ndiyo jibu bora na lenye msaada zaidi kuliko kumwambia mtu ahamie halafu atamalizia akiwa ndani.
Fundi msingi laki 7! Nieleweshe mkuuTufanye hivi f
Fundi Msingi 700,000
Tofari 800 za msingi @1200 =960,000
Mchanga trip 5@ 60,000= 300,000
Nondo 25 @ 26,000=650,000
Cement 40@ 15,000= 600,000
Kokoto 3" = 300,00
Mbao
Chepe
Ndoo
Rings
Kifusi
Jumla msingi tuweke 4,500,000
Boma
Tofari 1500
Cement 40
Koto lori moja
Mbao za renta (utakodi)
Ufundi
Nazo tuweke 4,500,000
Kupaua
Mbao
Mabati(inategemea ni aina gani siku hizi yanepanda sana ) pia na aina ya paa unayoitaka kama nyumba ina kona nyingi mabati yatakatwa sana na mbao zitaenda nyingi pamoja na ufundi
Makadilio milion 7
Grils Madirisha na frem za milango pia nayo itategemea nyumba ina madirisha mangapi
Makadilio 1,500,000
Mfumo wa maji taka makadilio na shimo 1,500,000
Floor makadilio 1,000,000
Nyavu za madirishani 100,000
Unahamia tu fresh
Wewe ndo umeandika uhalisia sasa... Mimi nna makadirio mezani hayatofautiani na ulichoandika...Tufanye hivi f
Fundi Msingi 700,000
Tofari 800 za msingi @1200 =960,000
Mchanga trip 5@ 60,000= 300,000
Nondo 25 @ 26,000=650,000
Cement 40@ 15,000= 600,000
Kokoto 3" = 300,00
Mbao
Chepe
Ndoo
Rings
Kifusi
Jumla msingi tuweke 4,500,000
Boma
Tofari 1500
Cement 40
Koto lori moja
Mbao za renta (utakodi)
Ufundi
Nazo tuweke 4,500,000
Kupaua
Mbao
Mabati(inategemea ni aina gani siku hizi yanepanda sana ) pia na aina ya paa unayoitaka kama nyumba ina kona nyingi mabati yatakatwa sana na mbao zitaenda nyingi pamoja na ufundi
Makadilio milion 7
Grils Madirisha na frem za milango pia nayo itategemea nyumba ina madirisha mangapi
Makadilio 1,500,000
Mfumo wa maji taka makadilio na shimo 1,500,000
Floor makadilio 1,000,000
Nyavu za madirishani 100,000
Unahamia tu fresh
Naomba namba zakeNna fund ana bei za kawaida mno, labda nikupatie mawasiliano yake, yeye atakupa ushaur mzuri.
Mafund wa kisasa watakwambia mpaka kokoto ununue zile nyeusi wakat kokoto jiwe zipo kibao kigamboni, mara cement mifuko kibaoo, mafundi wenye uzoefu ni wazuri mno.
Kama anataka ya makuti.Nyumba ya vyumba 3 kwa mil.20 mkuu unataka afungukeje? Akutajie rangi ya nyumba?