Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Wasio na nyumba wanapenda sana kukatisha tamaa watu wanaotaka kujenga.Vitisho vimeanza. Nyumba zetu za kawaida anaweza kuhamia kabisa akaremba akiwa ndani
Unakuta mtu tayari ana "mansion" lake kichwani kwahiyo hata ukimwambia una 100M atakwambia haitoshi.
Binafsi huwa nawafananisha na walevi jinsi wanavyo diss wasio kunywa pombe. Ni ilimradi na wewe uwe kama wao wote mfanane.