Nina Milioni 16, naombeni ushauri

Ukiwa unafikiria kazi ya kufanya, ziweke kwenye fixed account. Au kama una washikaji waaminifu kopesha kwa riba, tena hii inalipa sana ni swala ni uaminifu.
 
The same age but mfukoni ndo kwanza nnabuku..... Ila nnawazo la muda mrefu kidogo ila pesa za kukamilisha hilo ndo naendelea kuzichanga!!!!

TWENDE PAMOJA: Mimi nahitaji Ngwanda (n chombo Cha uvuvi baharini)
Gharama yake ni kama 10+ milion.... Kuchonga mpya pamoja na vifaa vyake Kama engine, generator, taa n.k

Gharama kwa used inapatikana kwa 7.5mil .... (Connection ninayo)

WAZO SHIRIKISHI.....
Kama utakuwa tayari, tushirikiane kwa namna ifuatayo:
*Wewe utanunua Ngwanda kwa 7.5 mil (uwe kama boss)
* Halafu tuingie mkataba unikodishie kwa gharama ya kila siku 30k (kazi itafanyika siku 20 kwenye mwezi)
*Lengo langu ni kuinunua hiyo Ngwanda, ambayo itanichukua miezi 10 kukamilisha pesa yako 7.5 mil, nikishainunua kutoka kwako tunakuwa tumemaliza
*Then baada ya hapo Kama tutaingia mkataba mwingine, sawa!!

FAIDA YAKO ITATOKA WAPI????
Twende pamoja:
Ndani ya miezi kumi ambayo nitakuwa naikusanya pesa ya kuinunua Ngwanda ya boss, zoezi letu la ukodishiwaji wa 30000 kwa siku litaendelea
hesabu: siku 20 za kazi × 30k = 600k.
Kwa miezi 10 👉 jumla 6mil ....... Hii n pesa ya kukodisha chombo

Then:. Mtaji + pesa ya kukodisha = 7.5mil + 6mil = 13.5mil

USALAMA WA MALI YAKO:
Kila kazi inachangamoto lakini hapa risk kubwa nitaichukua mimi.... Ikitokea chombo kimeenda baharini kikakosa hiyo wewe haikuhusu pesa yako ya kukodisha chombo ipo palepale

* Na ikitokea nimeenda kinyume na taratibu unaweza uza chombo chako.... Kwani Ngwanda haiwezi kosa mteja!!!
*Taratibu za uandikishanaji zitakuwa kisheria kabisa
* Usiwaze kuniajiri, tufanye kaz Kama mkataba wa bodaboda na bajaji n bora zaidi
*Haya kama deal ni zuri karibu inbox

NB: hatujasomea mambo ya biashara kwahyo ...we no nothing about business proposal..... Elimu yetu ndo hyo la 7 B, soma tu hvyohvyo ndugu!!
 
Sijakuekewa hapo kwenye mtaji + pesa yakukodisha
 
Sijakuekewa hapo kwenye mtaji + pesa yakukodishok.
Sijakuekewa hapo kwenye mtaji + pesa yakukodisha
Sijakuekewa hapo kwenye mtaji + pesa yakukodisha
Sawa.
PESA YA MTAJI👉 pesa uliotumia kununulia Chombo Cha uvuvi
PESA YA KUKODISHA 👉 jumla ya pesa ilopatikana ndani ya miezi 10 kutokana na kunikodishia Chombo Cha uvuvi.... Yani kila chombo kikienda baharini kikirudi nchi kavu wewe unapata 30000.......
 
Njoo uwekeze kwenye crypto currency hautojutia. Ila ntakuchaji asilimia 30% ya kipato. Ntakupa mbinu za kuwekeza na coin za kununua. Hautojutia. Karibu inbox
 
The same age but mfukoni ndo kwanza nnabuku..... Ila nnawazo la muda mrefu kidogo ila pesa za kukamilisha hilo ndo naendelea kuzichanga!!!!

TWENDE PAMOJA: Mimi nahitaji Ngwanda (n chombo Cha uvuvi baharini)
Gharama yake ni kama 10+ milion.... Kuchonga mpya pamoja na vifaa vyake Kama engine, generator, taa n.k

Gharama kwa used inapatikana kwa 7.5mil .... (Connection ninayo)

WAZO SHIRIKISHI.....
Kama utakuwa tayari, tushirikiane kwa namna ifuatayo:
*Wewe utanunua Ngwanda kwa 7.5 mil (uwe kama boss)
* Halafu tuingie mkataba unikodishie kwa gharama ya kila siku 30k (kazi itafanyika siku 20 kwenye mwezi)
*Lengo langu ni kuinunua hiyo Ngwanda, ambayo itanichukua miezi 10 kukamilisha pesa yako 7.5 mil, nikishainunua kutoka kwako tunakuwa tumemaliza
*Then baada ya hapo Kama tutaingia mkataba mwingine, sawa!!

FAIDA YAKO ITATOKA WAPI????
Twende pamoja:
Ndani ya miezi kumi ambayo nitakuwa naikusanya pesa ya kuinunua Ngwanda ya boss, zoezi letu la ukodishiwaji wa 30000 kwa siku litaendelea
hesabu: siku 20 za kazi × 30k = 600k.
Kwa miezi 10 👉 jumla 6mil ....... Hii n pesa ya kukodisha chombo

Then:. Mtaji + pesa ya kukodisha = 7.5mil + 6mil = 13.5mil

USALAMA WA MALI YAKO:
Kila kazi inachangamoto lakini hapa risk kubwa nitaichukua mimi.... Ikitokea chombo kimeenda baharini kikakosa hiyo wewe haikuhusu pesa yako ya kukodisha chombo ipo palepale

* Na ikitokea nimeenda kinyume na taratibu unaweza uza chombo chako.... Kwani Ngwanda haiwezi kosa mteja!!!
*Taratibu za uandikishanaji zitakuwa kisheria kabisa
* Usiwaze kuniajiri, tufanye kaz Kama mkataba wa bodaboda na bajaji n bora zaidi
*Haya kama deal ni zuri karibu inbox

NB: hatujasomea mambo ya biashara kwahyo ...we no nothing about business proposal..... Elimu yetu ndo hyo la 7 B, soma tu hvyohvyo ndugu!!
Sahihi kabisa kama akitengeneza Ngwanda mwenyewe bei ni nafuu endapo ataingia porini kununua mbao mwenyewe.
 
chukua 1m nenda bar mpka ikiisha ushapata wazo zuri tu ukiona imekata na bado hujapata wazo basi endelea kusevu pesa yako
 
Back
Top Bottom