Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,890
- 2,217
Hamna namna lazma mtoto apate kizuri banaBilashaka mtamalizana pm kaka😅😅
Mambo yanaanzaga hivi hivi tehtehteh
Pia aache kuchagua kazi, huyu atakuwa mwoga wa kazi huyu dume lizima kama wewe huumwi popote eti unasema hunakazi, Kazi yoyote itakayo kuja hapo mbeleyako ipige tiktaka upate doo acha uboya chali yangu, njoo huku marangu tupande mlima
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu inawezekana ni NDOTO yake ya baadaeBut mbona unaonekana kama huna hiyo hali mbaya sana kama ulivyoandika hapa?
Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee - JamiiForums
Maana kama mtu unawaza kuanza ujenzi sidhani kama utakuwa umekwama kiasi hiko unless uwe unatania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi napajua hapo chimbo lako, si Arachuga?We bibie bana uko mtaa upi nkufate uje unywe kwa punguzo
Una mawazo hasi kama jina lako muoneBilashaka mtamalizana pm kaka
Mambo yanaanzaga hivi hivi tehtehteh
Pia simu, kadi ya chama, ...Sema una miliki na digrii,vipi mzee wako alikupokea? Au bado anakuona kibaka tu.
mkuu pole... Kwamza tambua haupo pekeako, wengine katika hali kama yako wapo na familia pia but life inasonga kikubwa pumzi ... Chakufanya kila siku amka asubuhi na mapema mshukuru Mungu, kisha fanyia usafi chumba chako na mazingira ya hapo nje, kisha washa moto na uchemshe maji nenda oga baada ya kuweka mwili safi chukua maji kunywa then mshukuru MUNGU halafu nenda katembee mtaani.
Kwanza, Habari ndugu. Usitake kufanya mambo makubwa mara moja. Kwa sasa inaonekana tatizo sio kwamba haujapata mali au wealth. Kuna watu wako hospitali hata kuandika hii post hawawezi. Kwanza kabisa, jitahidi kushukuru Mungu kwa chochote ulicho nacho. Hata afya au simu na uwezo wa kuingia JF, ni jambo la kushukuru.Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
mbonaNaombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
Anavodai alimdai babaye ile laki saba aliyomkopesha na akaambiwa yeye na baba yake uhusiano basi,kikoozi akaona isiwe tabu kachukua pesa na kwenda kupanga zilipoisha akarudi ,ndipo mzee wake akaweka walinzi wasiruhusu kiumbe ndani hasa kikoozi;labda tumuulize kama alirudishwa nyumbani, kikoozi njoo huku.Pia simu, kadi ya chama, ...
Atuambie, he kama alisonga mbele kumdai baba take matunzo.
Sio vyema kujilinganisha na wengine.
Amekuja?Anavodai alimdai babaye ile laki saba aliyomkopesha na akaambiwa yeye na baba yake uhusiano basi,kikoozi akaona isiwe tabu kachukua pesa na kwenda kupanga zilipoisha akarudi ,ndipo mzee wake akaweka walinzi wasiruhusu kiumbe ndani hasa kikoozi;labda tumuulize kama alirudishwa nyumbani, kikoozi njoo huku.
Usiwaze mkuu mbona wewe umepiga hatua mimi mpaka sasa nina 34 ninachomilik ni simu na begi la mgongon ndio vitu vya thaman sina kitanda, godoro wala shuka.
Life begin at 30Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
Wazungu wanasema Life begin at 30 0r 40 0r 20, usikate kataa anza ulipo maana maisha hayana mapambano ila tunapambana tuwe bora zaidi ya jana...Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.