Nina miaka zaidi ya 30 sina ninachomiliki, nahisi kukata tamaa. Msaada wenu

Usikate tamaa kaka
Ata Reginald mengi alianza kunyanyuka na 45 years
Pambana usiangalie umri
Age is nothing but a number ndo maana wengine wanatoboa keenye 20 years au before,acha kuangalia umri,pambanz mpk dk ya mwisho
 
POST ZAKO ZA NYUMA;-

una Degree ya IT.
Una Vyeti vya CCM uongozi na uanachama
Una Kiwanja Kimara- 20*29.

Mm nadhan Mindset yako iko na tatizo sehemu. Na sio kuwa hauna kitu. Labda yenyewe ndio haina kitu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mkuu pole... Kwamza tambua haupo pekeako, wengine katika hali kama yako wapo na familia pia but life inasonga kikubwa pumzi ... Chakufanya kila siku amka asubuhi na mapema mshukuru Mungu, kisha fanyia usafi chumba chako na mazingira ya hapo nje, kisha washa moto na uchemshe maji nenda oga baada ya kuweka mwili safi chukua maji kunywa then mshukuru MUNGU halafu nenda katembee mtaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.

Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.

Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.

Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.

Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
Kwanza, Habari ndugu. Usitake kufanya mambo makubwa mara moja. Kwa sasa inaonekana tatizo sio kwamba haujapata mali au wealth. Kuna watu wako hospitali hata kuandika hii post hawawezi. Kwanza kabisa, jitahidi kushukuru Mungu kwa chochote ulicho nacho. Hata afya au simu na uwezo wa kuingia JF, ni jambo la kushukuru.

Pili, usijilinganishe na wengine. Mara nyingi kijana kama wewe unaangalia watu wengine wa umri wako wa miaka 30 unaona kama wametoboa maisha. Kumbuka maisha ya watu wawili hayalingani. Wengine wamezaliwa katika utajiri, wengine walifanya madawa ya kulevya, wengine wameuza miili, na ndio wakatoboa.

Tatu, Ukishashukuru Mungu kwa mibaraka midogo, na ukishaacha kujilinganisha na wengine, basi sasa tafakari ni namna gani unaweza kupata furaha ndogo ndogo maishani kwa sasa. In English wanasema short term goals related to short term gratifications. Hapa angalia vitu kama chakula gani kikupe faraja nk. Basi jitahidi upate faraja hio ya sasa sababu uko very depressed.

Nne, ukishaweza hapo kwa short term goals, sasa angalia long term goals, au malengo ya kukuletea utajiri. Kumbuka utajiri hauji mara moja tu paap. Success never happens overnight. Utajiri ni matokea ya malengo mazuri, kuchapa kazi, kutokata tamaa, kujiamini, na kumwamini Mungu. Lakini hayo yatatokea baada ya kufanyia kazi lengo kwa muda mrefu. Kwa sasa long term goal angalia upate ujuzi fulani mzuri wa kukupatia pesa nzuri. Au hata ujuzi wa kujiajiri. Jifunze vitu kama ufundi wa plumbing, welding, nk. Na pambana upate ujuzi kwelikweli sio wa kubabaisha. Manake uwazidi wengine, ili hata uuze jina kwa matokea mazuri ya kazi zako.

Usihofu kuuliza kwa ushauri zaidi.
 
Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.

Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.

Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.

Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.

Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
mbona
 
Pia simu, kadi ya chama, ...
Atuambie, he kama alisonga mbele kumdai baba take matunzo.
Sio vyema kujilinganisha na wengine.
Anavodai alimdai babaye ile laki saba aliyomkopesha na akaambiwa yeye na baba yake uhusiano basi,kikoozi akaona isiwe tabu kachukua pesa na kwenda kupanga zilipoisha akarudi ,ndipo mzee wake akaweka walinzi wasiruhusu kiumbe ndani hasa kikoozi;labda tumuulize kama alirudishwa nyumbani, kikoozi njoo huku.
 
Amekuja?
 
Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.

Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.

Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.

Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.

Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
Life begin at 30

Wazungu wanasema Life begin at 30 0r 40 0r 20, usikate kataa anza ulipo maana maisha hayana mapambano ila tunapambana tuwe bora zaidi ya jana...
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom