Mwili wangu na akili yangu vimechoka sana, sasa nakaribia kukata tamaa

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari..

Wakuu mimi kijana wenu nahisi uchovu mkali sana na kuishiwa sana nguvu kimwili na kiakili..

Yani akili na mwili wangu vimechoka sana ndugu zangu. Nimejitahidi kunywa maji mengi si chini ya lita tatu (3ltrs) kwa siku, kula ndizi mbivu, matikiti, maparachichi, miogo ya kuchemsha na viazi vitamu, chocolates, machungwa na hata energy drink, kulala mapema , mazoezi ya viungo kwa lengo la kuboost nguvu ya mwili (energy) na akili lakini bado nimechoka sana ndugu zangu.

Naombeni mnisaidie nifanye nini wakuu kuondoa huu uchovu wa mwili na akili , kwa kuzingatia kwamba nimeenda hospitali kucheck afya na kujibiwa na wataamu nipo sawa kabisa sina ugonjwa,

Nimekaribia kukata sasa tamaa ndugu zangu

Asanteni.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Anzisha mahusiano mapya ya kimapenzi, kama upo ndoani, tafuta mchepuko haraka, utanishukuru baadae.
Hii ni Tiba nzuri sana hasa hayo mahusiano mapya ukipata mtu sahihi,maana kuna mahusiano mwanamke anachojua ni kulalwa tu.

after hapo ni Bubu hana idea,story,hana anything inayoweza kuku boost yani after ngen ngen Anakua kama kaparalyse.

ukipata wa hvyo,utakua umeruka mkojo umekanyaga kinyesi.
 
Back
Top Bottom