Nina miaka 32, nishaanza kupuuza kufanya mapenzi. Je, hii ni kawaida?

Mbona mdogo sana kukosa ham mzee, kwa umri huo libido inatakiwa kuwa juu sana. By the time unagonga 45 walau ndio ianze kupungua.

Majukumu yapo tu kila siku, ninachodhani labda kuna namna unapitia changamoto fulani za kimaisha, in that case kweli ham inakata na wanawake wanakuwa kama vidume tu.
 
Kwanza nitie msisitizo nguvu bado ninazo na moto napeleka fresh tu.

Tatizo ni kwamba, zamani nilikuwa napenda sana kufanya hii ibada ya damu, mifupa na nafsi, zamani nlikuwa napania sana, hata nikifika home nilikuwa naweka akili nyingi kudubiria mda wa mechi na wife.

Kwa sasa utaratibu unaendelea vilevile na wife kama kawa nampa dozi yake ya afya.

ila ni kwamba saizi nawaza sana mambo mengine mfano, kuna kipindi nlikuwa natumia internet kufatlia ishu za sex ila saizi mfano leo nilikuwa bizi kufatilia michoro ya nyumba ndogo (mita 4 kwa 5) nizijenge karibu na chuo ama nijenge tu hostel ya kawaida.

pia nmeanza kusoma vitabu, n.k

Saizi kwangu nafanya kwajili ya kumridhisha wife tu tofauti na zamani nlikuwa nafocuss zaidi iwe statehe kwajili yangu.

Mfano saizi wakati wife kainama mbuzi kagoma (doggy) mi huwa naangalia mbele kwenye pazia huku nikiwa natafakari mambo mengine, akili inakuwa haipo kwenye tendo kwa asilimia 80 hivi, mi nachezesha tu kiuno ilimradi mpini ukidhi haja za wife, midadi (utam) kama kawaida nausikia ila nakua nawaza vitu vingine mfano kesho niamke saa ngapi, mda pekee ambao na pause kidogo ni napofika kileleni hapa huwa kidogo mawazo yanakandamizwa, nikianza kupiga tak* za fasta nae wife huwa anajua ndo nafika kileleni, ila naada ya kumwaga wazungu napumzika kidogo naendelea na mawazo yangu, round ya pili nayo huwa hivyo hivyo sema nikienda raundi ya tatu huwa akili inaanza kupata taabu kidogo kuwaza.

Hii imekaaje
Aisey nimekutamani saana na hio hali nisaidie nifanyeje na Mimi nipoteze hamu ya ku seksi??
 
Kwanza nitie msisitizo nguvu bado ninazo na moto napeleka fresh tu.

Nina miaka 32, Nmeajiriwa serikalini, Mshahara 2.x take home, ni mfanyabiashara pia, nina mke na watoto wawili wa kiume, Hivi karibuni nmekuwa mdau sana wa maendeleo.

Tatizo ni kwamba, zamani nilikuwa napenda sana kufanya hii ibada ya damu, mifupa na nafsi, zamani nlikuwa napania sana, hata nikifika home nilikuwa naweka akili nyingi kusubiria mda wa mechi na wife.

Kwa sasa utaratibu unaendelea vilevile na wife kama kawa nampa dozi yake ya afya ila ni kwamba saizi nawaza sana mambo ya kimaendeleo.

mfano, kuna kipindi nlikuwa natumia internet kufatlia ishu za sex ila saizi mfano leo nilikuwa bizi kufatilia michoro ya nyumba ndogo (mita 4 kwa 5) kutafuta mtindo mzuri wa hostel nizijenge kwenye viwanja viwili nlivyonunua.

pia badala ya kufatilia sana blog za mapenzi kwa sasa nmeanza kusoma vitabu vya maendeleo.

Saizi kwangu nafanya kwajili ya kumridhisha wife tofauti na zamani nlikuwa nafocuss zaidi iwe starehe
yangu, Nitilie msisitizo hakuna kilichobadilika kwamba labda nguvu zimepungua, LA HASHA!!

Mfano saizi wakati wife kainama mbuzi kagoma (doggy) mi huwa naangalia mbele kwenye pazia huku nikiwa natafari maendeleo, akili inakuwa kwenye sex kidogo, mi nachezesha tu kiuno ilimradi mpini ukidhi haja za wife, Yes, naskia utam wa mfikicho kama kawaida ila nakua nawaza ishu za maendeleo, mda pekee ambao na pause kidogo haya mawazo ni napofika kileleni hapa huwa naanza kupiga tak* za fasta fasta, ila naada ya kumwaga wazungu napumzika kidogo naendelea kuwaza maendelek, round ya pili nayo huwa hivyo hivyo sema nikienda raundi ya tatu huwa akili inaanza kupata taabu kidogo kuwaza.

Kitu kilichobadilika ni kuchelewa kupiga goli, nilifatilia hii nikaona akili inapokuwa sijapania sex hii inachangua kuchelewa, wife anantaniaga nmeanza kula matunda sana 😂😂.

Hii imekaaje.
Umezidi sasa mshahara wako unahusikaje na hii mada .
Ila nikweli kwa hii hali hata mie ninayo huko interested
 
Kama Mimi tu yani siku hizi sinaga kabisa time na masuala ya mademu,Nina michepuko 5 lakini sina hata mzuka nao naweza kuwapanga kukutana kila mmoja kwa wakati wake lakini at the end of time naghairisha,siku za nyuma nilikuwa nahusudu sana ngono ,ila kwa sasa naona sio inshu kwangu,wife tangu nimtie mimba ya tatu na kujifungua mtoto wa 3 sina hata mzuka nae ,akili yangu inawaza namna ya ku-make life gud, nikiwa na hamu napiga Nyeto nimetoka hiyo ,kwangu kwa sasa mapenzi sio kipaumbele hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una watoto wa tatu bado unapiga nyeto
 
She is not receptive

Ili uwaze sex na upende kufanya mara nyingi nyingi,mke ana husika kwa 70% km mke amekaa kaa km dada ako mawazo ni either yatahamia kwa maendeleo au michepuko.Kwa case yako mawazo umeyapeleka kwenye vitu vya maana.
Mwanamke ndo anahamasisha sex kwa mwanaume siku zote iwe bar kwa vimini,iwe kanisani kwa vimini,iwe kazini kuacha kifua wazi, iwe kwenye ndoa kwa kuvaa nguo za mitego mbele ya mumewe.Sasa mwanamke asipofanya hili jukumu lake kubwa ambalo wanawake zetu wanalisahau punde tu ukimuoa.Mkiwa wachumba atalifanya mpk utashangaa mkioana hicho ndo cha kwanza anaacha kufanya.

Jukumu kubwa analofanya mwanamke bila kujua akishaolewa tu ni kuua sex life ya ndoa na libido ya mwanaume.Kimbembe kinaanziaga hapa.

At the end,Ndoa inaanza kuwa ngumu hapa maana hata huo umuhimu wa kuoa unaanza kuona Haupo.
Sasa mwanaume ukiweza kuona umuhimu wa kuoa bila kuangalia sex nadhani umefaulu mtihani wa kuishi na mwanamke kwa 50%.Ukishindwa kuna mambo utafanya unaweza kuanza kumpiga mkeo kwa sababu za kijinga au kumdharau na kuona hana mchango kwenye maisha yako,kumuona mzigo,kuona umekosea kuoa,kuchepuka,kutafuta maendeleo kwa pupa ili usahau ukweli kwamba upo kwenye no-sex marriage au ndoa isiyo na manufaa kwa mwanaume/ndoa ya kumtesa mwanaume na kumfanya afe mapema.

Mara nyingi hata uwezo wa kumpiga mkeo zaidi ya bao moja unaanzaga kupungua.Nje unaweza kupiga bao nne ila ndani mkeo hata hilo bao moja unapiga basi.Hata kumuandaa unaona unapoteza mda maana amekuwa km dada ako vile yupo yupo hatamanishi na hawazi kukutamanisha.Sasa hapa upate mchepuko wenye madoido na high libido aisee usipokuwa exposure nzuri na wanawake unaweza kumtimua mkeo au kutelekeza familia.Atakuwa amelogwa yule HAPANA hajalogwa

Men express love through sex.Kwenye kitchen party utasikia wanashauriana mumewe akitaka sex we mpe asubuh,mchana,jioni we mpe tu.Uwaga hawajui moja kwa moja kwanini but deep down bila enough sex mwanaume hajui ku handle mwanamke .

Malaya wanakupa good sex hlf wanaomba wafunguliwe biashara na kweli mwanaume anajikuta katoa mpunga wa kutosha,wife hataki hata kuguswa paja
 
Back
Top Bottom