Nina miaka 32, nishaanza kupuuza kufanya mapenzi. Je, hii ni kawaida?

She is not receptive

Ili uwaze sex na upende kufanya mara nyingi nyingi,mke ana husika kwa 70% km mke amekaa kaa km dada ako mawazo ni either yatahamia kwa maendeleo au michepuko.Kwa case yako mawazo umeyapeleka kwenye vitu vya maana.
Mwanamke ndo anahamasisha sex kwa mwanaume siku zote iwe bar kwa vimini,iwe kanisani kwa vimini,iwe kazini kuacha kifua wazi, iwe kwenye ndoa kwa kuvaa nguo za mitego mbele ya mumewe.Sasa mwanamke asipofanya hili jukumu lake kubwa ambalo wanawake zetu wanalisahau punde tu ukimuoa.Mkiwa wachumba atalifanya mpk utashangaa mkioana hicho ndo cha kwanza anaacha kufanya.

Jukumu kubwa analofanya mwanamke bila kujua akishaolewa tu ni kuua sex life ya ndoa na libido ya mwanaume.Kimbembe kinaanziaga hapa.

At the end,Ndoa inaanza kuwa ngumu hapa maana hata huo umuhimu wa kuoa unaanza kuona Haupo.
Sasa mwanaume ukiweza kuona umuhimu wa kuoa bila kuangalia sex nadhani umefaulu mtihani wa kuishi na mwanamke kwa 50%.Ukishindwa kuna mambo utafanya unaweza kuanza kumpiga mkeo kwa sababu za kijinga au kumdharau na kuona hana mchango kwenye maisha yako,kumuona mzigo,kuona umekosea kuoa,kuchepuka,kutafuta maendeleo kwa pupa ili usahau ukweli kwamba upo kwenye no-sex marriage au ndoa isiyo na manufaa kwa mwanaume/ndoa ya kumtesa mwanaume na kumfanya afe mapema.

Mara nyingi hata uwezo wa kumpiga mkeo zaidi ya bao moja unaanzaga kupungua.Nje unaweza kupiga bao nne ila ndani mkeo hata hilo bao moja unapiga basi.Hata kumuandaa unaona unapoteza mda maana amekuwa km dada ako vile yupo yupo hatamanishi na hawazi kukutamanisha.Sasa hapa upate mchepuko wenye madoido na high libido aisee usipokuwa exposure nzuri na wanawake unaweza kumtimua mkeo au kutelekeza familia.Atakuwa amelogwa yule HAPANA hajalogwa

Men express love through sex.Kwenye kitchen party utasikia wanashauriana mumewe akitaka sex we mpe asubuh,mchana,jioni we mpe tu.Uwaga hawajui moja kwa moja kwanini but deep down bila enough sex mwanaume hajui ku handle mwanamke .

Malaya wanakupa good sex hlf wanaomba wafunguliwe biashara na kweli mwanaume anajikuta katoa mpunga wa kutosha,wife hataki hata kuguswa paja

Uko vzr
 
Kama Mimi tu yani siku hizi sinaga kabisa time na masuala ya mademu,Nina michepuko 5 lakini sina hata mzuka nao naweza kuwapanga kukutana kila mmoja kwa wakati wake lakini at the end of time naghairisha,siku za nyuma nilikuwa nahusudu sana ngono ,ila kwa sasa naona sio inshu kwangu,wife tangu nimtie mimba ya tatu na kujifungua mtoto wa 3 sina hata mzuka nae ,akili yangu inawaza namna ya ku-make life gud, nikiwa na hamu napiga Nyeto nimetoka hiyo ,kwangu kwa sasa mapenzi sio kipaumbele hata kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aiseee
 
Mkuu hio ni hatua nzuri, ila umechelewa sana kuifikia..

Komaa na maendeleo, hali ya kutamani papuchi itarudi kadri muda unavokwenda
 
Wanaanzaga hivo ivo!!!,,,, tumiaka 32 tu?? bando kinda kabisa wewe, 30yrs hata ukiangalia tako tu linavotikisa kwa wadada kitu hicho kianaita!!! unalala imo humpo!! maweee!! umesharogwa wewe!!! mkeo mtu wa wapi kwanza Sumbawanga?!!

Kwanza hapo ndo penye hatari ya watoto wengi!!! si ke wala me!!! kipindi cha mikito ya vigelegele!! kma hujui kilele chake ni hapa 15-50yrs, hata uwe na malaria ile ya kufa!! sijui unatembea kwa kubebwa lkn ukisikia tu ile kitu inanukia kitu hichi!!!

wanaume sijui tukoje wajameni doooo! siyo kama ke mpaka wasikilizie weeee!!
 
Mjengee vizuri tu !! katoto ka pili kaki graduate tu!!! unakufa ghafla!!! ukiwa na late 40 wewe jifanye kuweka mijengo oa mwingine
 
Jamiiforums watu kama wewe mpo wengi sana, mna ugonjwa wa kusoma vichwa vya habari na kurukia ku comment ama kusoma paragraph ya kwanza tu mje ku comment.

Soma upya na uelewe post, Ni wapi nimeandika perfomance yangu imeshuka??

Nawewe mkuu una shida, Kwanini ume pin point ishu ya kushuka kwa Performance??
 
Wanaanzaga hivo ivo!!!,,,, tumiaka 32 tu?? bando kinda kabisa wewe, 30yrs hata ukiangalia tako tu linavotikisa kwa wadada kitu hicho kianaita!!! unalala imo humpo!! maweee!! umesharogwa wewe!!! mkeo mtu wa wapi kwanza Sumbawanga?!!

Kwanza hapo ndo penye hatari ya watoto wengi!!! si ke wala me!!! kipindi cha mikito ya vigelegele!! kma hujui kilele chake ni hapa 15-50yrs, hata uwe na malaria ile ya kufa!! sijui unatembea kwa kubebwa lkn ukisikia tu ile kitu inanukia kitu hichi!!!

wanaume sijui tukoje wajameni doooo! siyo kama ke mpaka wasikilizie weeee!!
Hii ideology ni kwa blacks tu labda na Arabs Ila Europeans ni kumbuka ni romance to afu kabao kamoja.
Muda mwingi wanaume wanakaa maabara wakiwaza kuvumbua vitu vitakavyofanya vizazi vya wapenda ngono wawe watumwa kwa vizazi vyao milele.
Saivi tayari una simu,gari,nguo,viatu,tiles,yaani kila kitu Cha kwao. Jamaa kiukweli ngono hawana time kabisa.
Ndo Mana jamaa akaelezea poa kabisa kuwa ukiwa na passion or you're ambitious guy with something in life hakyanani oobu hausimami,yaani huwezi tekwa na akili na k.
Niambie waarabu ama waafrika wamevumbua Nini ambacho kinauzwa duniani kote.
Yaani mtu unakuwa mtu unapigana unapata hela ili ukanunue kazi ama ubunifu wa mtu.
Mie nikuulize tu ngono Ina faida gani,ukija kuwa na wajukuu waweza jipiga kifua mbele unawasimulia kuwa ulikuwa kitomb.
Muache jamaa mie namuona Yuko pia.wapo watu muda wote wao ni kuwaza Tako,titi,mguu,sura sijui miss fulani ili amle.
Akili inayotumika kuwaza k ni energy kubwa tu
 
Huyu jamaa hata sijamwelewa yaani.! Unapigaje nyeto na una mwanamke ndani ? Mmh
Hata kama sijaoa ila nikiwa kwenye age kama hiyo mimi Nyeto hamnaa mademu wapo kibao huko mtaani mpaka elfu tano kikubwa kuvaa kondomu vizuri basi.
Mbona unapiga mkuu unashangaa nini.wife amejifungua 3 months unashtua kamoja unamvumilia amalize muda huo.
 
Mbona unapiga mkuu unashangaa nini.wife amejifungua 3 months unashtua kamoja unamvumilia amalize muda huo.

Mmmh Miezi mitatu unakausha tu ?? Mie natafuta wa kunipoza huko Nje. Kwa sasa tu siwezi kukaa wiki sijala sijapiga ngozi, mind you i am not married. So mimi kupiga mbususu ndio starehe yangu ya kwanza ikifuatiwa na Bia.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom