Nina miaka 24, sijawahi tembea na mwanamke...

hapo zamani za kale ng'ombe na mbuzi walikuwa marafiki sana na wote walikuwa na mikia mirefu kama ng'ombe,ng'ombe akawa anatumia mkia wake kufukuzia nzi na wadudu mbalimbali lakini mbuzi kwa UVIVU wake akawa hautumii mkia wake,kwa vile mkia wa mbuzi ulikuwa hautumiki ukanywea na kuwa mfupi!ndio maana mbuzi ana mkia mfupi na anajaribu kuutumia mkia huo mfupi kufukuzia nzi na wadudu mbalimbali kwa vile amegundua asipofanya hivyo UTAYEYUKA KABISA!hadithi yangu imeishia hapa!

Aisee! wewe....
 
Jestina mbona kama huku unakomtuma ni kule kunakoletaga ma roho mabaya ya ushetani?

to me nampongeza sana huyu kijana ni kijana mzuri sana tena mwenye hofu ya Mungu, usiogope wala kuona kama umechelewa hapa it is neva late. fanya kazi kwanza mdogo wangu, haya ya wadada spare hadi ufike japo miaka 29 utakapooa, kamwe usijaribu dogo manake waweza kuangukia mahali pabaya sana tena hayahitaj hata experience manake hata baba yako siku ya kwanza kuoa alikuwa hajawah kuoa tena.

ni vyema kama ukapendelea kuwa na kampani ya wadada na wakaka just for fun like kwenda movies lkn siyo kwa mambo ya ngono dogo. na sikufichi mshedede haunaga kujifunza wenyewe unajua njia ya kupita. Nakusihi sana usiangalie porn labda soma vitabu ambavyo vinaelezea maumbile lakini siyo majarida ya ngono. nimekupenda ghafla kwa jinsi ulivyojitunza.

Afikie 29?? Serious kabisa? Masikhara hayo jamani....... Lol!
 
Last edited by a moderator:
Afikie 29?? Serious kabisa? Masikhara hayo jamani....... Lol!

ma dearest Kipipi sitanii kwani tunategeea mwanaume aoe akiwa na umri gani? kwa hukukwetu bongo minimum of 29 na hapo huwa tunassume amepevuka kiakili zaid. nasema asubiri kwakua tunatarajia wachumba wawe ni watu ambao hawajawah kufanya matusi hata mara moja wawe ni mabikira wote haya maisha tu ndio tumebadili miiko lakin the reality ni hiyo kwamba suitors wawe virgin
 
Last edited by a moderator:
Kwani Erotica ulitegemea nini? ni sawa na kum-rufaa mgonjwa wa mafua. Aanze kwanza kwenye level za chini ikishindikana ndo aende kwa ma mega giants kama wewe na the like:nerd:
Mbimbinho wewe unaongea kitu gani papito? huoni kama ni kazi na gharama saana?

akianza na wa level ya chini tena atafute wa juu? beta aje kwangu mie nitaanza nae kwa level

hizo hizo za chini tukienda stage by stage. ya kwanza itakuwa bj, ya pili itakuwa kokroch death,

ya tatu hadi ya kumi atakuwa tayari mzoefu. unaonaje hapo? :baby:
 
simjui mwanamke till now but im 24 years and graduate? but i some times tamani, i fear to seduce a girl since i hav no practical knowledge of love making.

Tulia tu mwana, tupo wengi ndugu yangu. Mimi nina 27 hapa lakini hiyo ladha siijui ila nakomaa nijipange kidogo ili nivute kitu ndani, pamoja mzee usiogope "Mtoto wa nyoka hafundishwi kuuma"
 
Mbimbinho wewe unaongea kitu gani papito? huoni kama ni kazi na gharama saana?

akianza na wa level ya chini tena atafute wa juu? beta aje kwangu mie nitaanza nae kwa level

hizo hizo za chini tukienda stage by stage. ya kwanza itakuwa bj, ya pili itakuwa kokroch death,

ya tatu hadi ya kumi atakuwa tayari mzoefu. unaonaje hapo? :baby:

Erotica mtoto hakuanza kwa kula makande, lazima aanze na maziwa then uji laini nakazalika. Sasa aje kwa mtaalamu kama wewe na mtu hajui hata kusoma Gauge si unataka kumvunja kijana wa watu. :behindsofa:
 
Last edited by a moderator:
Mwongo huyu! Yaani hajatembea na mwanamke! Mi sielewi ati! Hata njia ya kwenda home hujatembea!
Mangi sema SIJAFANYA MAPENZI NA MWANAMKE! Kutembea ndo nini sasa? Ndio maana hata kutongoza umeshindwa!
 
why why why unaniwekea uzio? i dnt bite u kno. i dnt!! hebu mweleze feeeeez a come this way.
 
Last edited by a moderator:
Mwongo huyu! Yaani hajatembea na mwanamke! Mi sielewi ati! Hata njia ya kwenda home hujatembea!
Mangi sema SIJAFANYA MAPENZI NA MWANAMKE! Kutembea ndo nini sasa? Ndio maana hata kutongoza umeshindwa!

papito punguza stress, vijana wa siku hizi kutembea ndio kufanya kiswahili kinakua papito.
 
simjui mwanamke till now but im 24 years and graduate? but i some times tamani, i fear to seduce a girl since i hav no practical knowledge of love making.

Kijana, kuna uhusiano gani kati ya ku-graduate na hiyo virginity yako? Mbona sielewi!
 
Hahahaha....ww dogo umenifurahisha sana aisee, nimejaribu kupitia post yako between lines, unajua nimeona nini? Ww ni nyani mzee na umeshakwepanmishale mingi sana lakini la wanawake wewe ni Master, unazo mbinu nyingi sana zikiwemo hii uliyoitumia ili wanase wenyewe na utawanasa nakwambia. Kinga ya degree ndo itayovuta kwani wataamini jamaa huyu si wa Iringa ni mjanja. Yaani unataka kuniambia WEWE HUJUI LADHA YA MPUNYENYE KABISA? We mkaaaaalliiiiii
 
Back
Top Bottom