Nina miaka 24, sijawahi tembea na mwanamke...

feeeeez

Member
Jun 20, 2012
8
5
simjui mwanamke till now but im 24 years and graduate? but i some times tamani, i fear to seduce a girl since i hav no practical knowledge of love making.
 
kaza buti mpaka utakapofunga ndoa otherwise km ni mfuasi wa kameroon.
 
Good boy.. Lakini kwa huo uoga unadhani lini utabobea kama hutaki kujifunza??... Hata mia ilianza kwa moja..!
 
angalia mikanda ya porn,somavijarida,browse internet for adult content-mambo....utajifunza tu,mwisho jiamini wote hakuna aliyetufunza ukimpata wako utajua nini cha kufanya mbele ya safari.....:A S-baby::A S-baby:
 
unahofia kuipeleka sikioni? Natami upate ka lulu kakubandue lebo.

Ila hongera kwa kujitunza.
 
Hongera! Hivi kumbe wa ivo mnaexist?dah ila ndo mabaki ya toleo la mwisho!
Though,i still don'understand,wat exactly do u want?
 
nia yako ni ipi hata umeweka hili bandiko? unataka siye tufanyeje sasa?
 
simjui mwanamke till now but im 24 years and graduate? but i some times tamani, i fear to seduce a girl since i hav no practical knowledge of love making.

hongera kijana kwa kuwa 'bikira'.Ndivyo Mungu anavyopenda.sasa, acha kutafuta kujichanganya na zinaa.utauharibu utu wako wote.hebu mgeukie Mungu seriously ili akupe nguvu ya kushinda vishawishi mpaka utakapoamua kuoa ndipo ushiriki tendo la ndoa.utajifunza vema wakati huo.huna cha kukimbilia tendo la ndoa.lipo tu.utalifurahia sana wakati mkeo akiwa ktk himaya yako.
 
angalia mikanda ya porn,somavijarida,browse internet for adult content-mambo....utajifunza tu,mwisho jiamini wote hakuna aliyetufunza ukimpata wako utajua nini cha kufanya mbele ya safari.....:A S-baby::A S-baby:

atapiga puchu uyo ad mgongo upinde nakwambia!!!lol
 
Hongera my agemate!Bt angalia sana walo nje ya mfumo hutaman kuingia kwny cstim bt walo ndan hutaman kulog out!Unahtaj utam pia bt ucjejutia kwa kuj2nza kwako kk, TAFTA MCHUMBA mpme 1st ATAKPA MAU2NDU!Mengne huja automatcaly ucjal
 
angalia mikanda ya porn,somavijarida,browse internet for adult content-mambo....utajifunza tu,mwisho jiamini wote hakuna aliyetufunza ukimpata wako utajua nini cha kufanya mbele ya safari.....:A S-baby::A S-baby:
Mmmmh Jestina, aangalie porn? inatoa the wrong idea of sex
just like chick movies inavotoa wrong idea ya romance
ila hauo mengine nadhani ni sawa. akipata muda asome:
Losing Your Virginity - AskMen (usisahau ndom...)
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom