Nina miaka 24, sijawahi tembea na mwanamke...

Hongera my agemate!Bt angalia sana walo nje ya mfumo hutaman kuingia kwny cstim bt walo ndan hutaman kulog out!Unahtaj utam pia bt ucjejutia kwa kuj2nza kwako kk, TAFTA MCHUMBA mpme 1st ATAKPA MAU2NDU!Mengne huja automatcaly ucjal

Punguza u facebook! this is JF(No offence)
 
Dingo na wewe mkwala wake huu hata hauufanyii upgrading, tok a mie nakua:yawn:
Wenzio siku hizi wanaogopa mamba kulikoni ukimwi
Mwanangu King'asti, huyu mtaka ushauri ni mwanamke au mwanaume?
Nijuavyo mimi, wanawake ndio wanaogopa mimba, lakini sie wanaume wala haituhusu..........
 
Last edited by a moderator:
Ndo unavyojifariji kuwa hauogopi mimba eeh? Huko Zenj na hao washihiri wewe ulete za kuleta utuletee mdogo wetu saa hizi uuone moto wake! Tena wanaume wa siku hizi wanaogopa mimba manake ndo silaha yetu, unategeshewa tena kile cha chap chap ili usifaidi na kinatinga ting!!
Mwanangu King'asti, huyu mtaka ushauri ni mwanamke au mwanaume?
Nijuavyo mimi, wanawake ndio wanaogopa mimba, lakini sie wanaume wala haituhusu..........
 
Last edited by a moderator:
Ndo unavyojifariji kuwa hauogopi mimba eeh? Huko Zenj na hao washihiri wewe ulete za kuleta utuletee mdogo wetu saa hizi uuone moto wake! Tena wanaume wa siku hizi wanaogopa mimba manake ndo silaha yetu, unategeshewa tena kile cha chap chap ili usifaidi na kinatinga ting!!
King'asti mie huku hata wakinitegeshea hamsini, nitafurahi maana naongeza idadi ya ukoo wetu, tena kwa damu takatifu ya Kishihiri, damu ya Mtume.......................LOL
 
Last edited by a moderator:
I see! Kumbe bado mnaexist?mi natafuta virgin man wa miaka 30..
 
ungemtafuta Kaunga lol

ana collect virgin boys lol

Jamani mbona Eiyer nishambikiri since last week. Mwaya dogo usiwe na wasi wasi, vumilia kidogo wakati unatafuta mchumba; pia mshirikishe Mungu ikiwezekana upate virgin mwenzako, ninadhani itakuwa nzuri sana!

By the way, kwa mchumba usinitangaze kuwa virgin, maana akiwa fyatu baadaye anaweza akakusagia!
 
Last edited by a moderator:
jamani hakika kuna watu wa kuwapongeza aisee 24yrs yesu wangu natamani ningekuwa mimi maana. jitunze hivyo hivyo mdogo wangu kamwe usiangalie porn movie maana nahisi utapiga nyeto cha msingi tafuta mchumba wa maana na umshirikishe mungu kwa hilo uvunje tendo hilo ndani ya ndoa hakika utaishi kwa starehe sana dah. yaani wengine tunatamani turudi huko maana nahisi tumeshakaukia hatuna kitu kabisa tena. wazazi wako nawapa hongera kwa kukutunza man bikra.
 
Nampa pole huyo utakaye do naye for the first time maana anaweza kuumwa tumbo kwa ufanyaji wako wa kinjaa njaa,pia ushauri wangu ni kuwa hiyo siku utakayofanya hilo tendo jizibe mdomo kwa kutumia gundi au plasta maana unaweza jikuta unamuuma mwenzio kwa utamu utakao upata.
 
angalia mikanda ya porn,somavijarida,browse internet for adult content-mambo....utajifunza tu,mwisho jiamini wote hakuna aliyetufunza ukimpata wako utajua nini cha kufanya mbele ya safari.....:A S-baby::A S-baby:
teh teh teh....siku akianza atakua analala na kuamkia huko.
hyo kitu hua haifundishwi.
 
Um PM mdau Eiyer mfungue club yenu,kumbe mko wengi humu jamvini? At 24 ungekuwa mwanangu hakika ningeshaogopa kuona mwanangu hajichanganyi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom