Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuacheMahusiano mazuri hujengwa na mawasiliano mazuri kwa kiasi kikubwa bila hivyo kutakuwa na tofauti baina ya ninyi wawili , nakushauri mtafute akueleze tatizo ni nini linalopelekea kupunguza mawasiliano
Wahenga walisema pata pesa tujue tabia yako ,sijui walimaanisha nini...
Virginity mbona halijawa tatizo kama unavodhani? Hujui kwanini hapigi au hapokei simu zako na hujajipa muda kujua ni kwanini, pia hujasema amedumu na tabia hiyo kwa muda gani. Miezi minne katika mapenzi sio muda mrefu sana kukufanya upoteze umakini wa kushughulikia mahusiano yenu. Nnachokiona umempenda saana jamaa na huwezi kukaa mbali nae! Kama ukiweza endelea na shughuli zako za kazi/biashara, socialize na watu au kama mtu wa ibada concentrate huko jifanye kama hayupo na muda utaamua hatima yenu bila maumivuHabari zenu!
Nilikua na mpenzi ambae tumedum kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhat na kwakipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kaz hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.
Kilichonifanya nije hapa janvini ni kwamba: mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi cm nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu.kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula,nimekua mtu Wa kulia lia kila mara, tafazali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni
Msaada uta upata kwangu plz ni pm ili uc lie tenaHabari zenu!
Nilikua na mpenzi ambae tumedum kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhat na kwakipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kaz hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.
Kilichonifanya nije hapa janvini ni kwamba: mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi cm nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu.kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula,nimekua mtu Wa kulia lia kila mara, tafazali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni
Yaani huu ambao nimeuesabu wanne wote mawasiliano c mazuri kakaangu, ni kweli nilimpenda sana sifichi. Lakini hali yake yakukaa kimya ndio inaniumizaVirginity mbona halijawa tatizo kama unavodhani? Hujui kwanini hapigi au hapokei simu zako na hujajipa muda kujua ni kwanini, pia hujasema amedumu na tabia hiyo kwa muda gani. Miezi minne katika mapenzi sio muda mrefu sana kukufanya upoteze umakini wa kushughulikia mahusiano yenu. Nnachokiona umempenda saana jamaa na huwezi kukaa mbali nae! Kama ukiweza endelea na shughuli zako za kazi/biashara, socialize na watu au kama mtu wa ibada concentrate huko jifanye kama hayupo na muda utaamua hatima yenu bila maumivu
Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache
Kumbe alishakupa jibu mubashara kabsa sasa hapo unalalamika na kuomba ushauri upi?Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache